Kombo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,812
- 511
Kila mtu alianza kushabikia Arsenal kimpango wake, wengine tulianza miaka ya 90, wengine walianza baada ya 49 unbeaten, wengine sijui walianzia wapi! Kwa bahati mbaya hatukuwa na kikao cha pamoja cha kujadili timu zipi tuziunge mkono na zipi tuzipe kisogo, ingawa kuna kasumba kuwa shabiki wa Arsenal hawezi iunga mkono United. Sijui hii dhana imetokea wapi, coz hata Waingereza wenyewe hawako kihivyo... Ni kasumba za kwenye vibanda umiza vya kwetu. Mimi ni Gunner na leo I bet on United....
Umenena vema Mkuu, bongo hakuna ushabiki ni mikelele tu!