Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumeona tuwabatize jina jipya maana mnajiifananisha sana na Barcelona
2qwlnhe.jpg

Nona mnamtolea macho Nasri lool.

Na Wenger kashaanza ku-admit kwamba wanamatatizo ya maelewano ya fedha hili a sign mkataba mpya lol. Wasilete ujinga kabisa kama vipi watuambie sie fans tuko tayari kuchanga tulipie difference itakayo baki kwenye huo mkataba wake .

Nimechoka kila siku hatuna hela , kama vipi timu hiuzwe tu.
 
Nona mnamtolea macho Nasri lool.

Na Wenger kashaanza ku-admit kwamba wanamatatizo ya maelewano ya fedha hili a sign mkataba mpya lol. Wasilete ujinga kabisa kama vipi watuambie sie fans tuko tayari kuchanga tulipie difference itakayo baki kwenye huo mkataba wake .

Nimechoka kila siku hatuna hela , kama vipi timu hiuzwe tu.



Arsenal ni mradi wa board members, faida kwanza iingie mifukoni mwao halafu ndio washabiki mnafikiriwa....
 
aah BAK, I trust for the best too!!..thanks kwa support, you're a tru f/ball fan!!!..nimewasha hadi red candles, chilled red wine pia uzi wangu red nimevaa....Kaandunje Messi kale,mmh macho yangu yako kwake!!he he
Enjoy the match as I hope itakuwa very entertaining.

BJ habari yake bana
zile red candles zinawaka mpaka leo😛ound:nakuja kunywa ile wine ................pole dearest.... msalimie na BAK:dance:
 
I love this guy; people under-rate him coz he's not a 90 minute in and out player, anacheza kwa vipindi ndani ya hizo 90 mins. Ila ukiangalia ana 10 goals, 11 assists more or less like Nasri and we all talk about Nasri, Nasri, Nasri...

Wenger keep him (Arshavin).
Arshavin ni mzuri na anapokuwa uwanjani work rate yake ni nzuri, tatizo anaonekana hayuko fully committed for Arsenal cause, sometimes anaonekana moyo wake haupo Arsenal na hilo ndio limekuwa tatizo lake, nahisi labda kulikuwa na vitu personal vilikuwa vinamsumbua, Wenger inabidi amuweke kitako kumuambia kama anataka abaki Arsenal basi awe fully committed, tunataka kumuona yule Arshavin tunayemjuwa msimu huu.
 
So the best striker in the world (TM) anataka kuondoka Arsenal..in case you are wondering it's Nicklas Bendtner.
 
Msimu wa mwaka 2010/2011 ulimalizika kwa huzuni mkubwa kwa Arsenal. Hii ni klabu ambayo matarajio na matumaini ya meneja wake pamoja na wachezaji yalikuwa makubwa na kuyatiririsha kwa mashabiki kupitia ahadi za mambo mazuri kutarajiwa kutoka kwa kikosi madhubuti.

Lakini baada ya kukosea bila kudhania kuwa wangeshindwa na Birminham City kwenye fainali ya Kombe la Carling, klabu ambayo kabla ya hapo ilikuwa ikibabaisha matokeo katika Ligi kuu.

Tangu hapo Arsenal haikuwa na ile mori iliyokuwa nayo hapo kabla ikipoteza mchuano wa kombe la FA dhidi ya mahasimu wao wakuu Manchester United.

Vivyo hivyo maradhi yakazidi kuikumba klabu hiyo iliyodhibiti nafasi ya pili na kuonekana yenye fursa kuipiku Manchester United kabla ya kudorora na hatimaye kumaliza Ligi katika nafasi ya nne.

Mashabiki wa Arsenal wengi wamepoteza imani yao, licha ya klabu yao kuwa na kikosi chenye vijana wenye vipaji na ambao wameimarika katika misimu michache iliyopita, wanahisi mabadiliko yanastahili yafanyike ikiwa klabu hiyo inataka kupata mafanikio kwa vikombe.

Kwa bahati nzuri, Wenger mwenyewe ameahidi kwa kauli yake kufanya mabadiliko na kuondosha mzigo usiofaa kwenye uwanja wa Emirates.Wakati idadi kubwa ya majina ya wachezaji wa kuvutia imetajwa kua tayari kuelekea kaskazini mwa jiji la London, jina moja lililojitokeza kuhama uwanja wa Emirates ni Mrussi Andrei Arshavin.

Mchezaji mwenyewe amesema kuwa Arsene Wenger amemuahidi kuwa bado anataka asalie Emirates.

Pamoja na hayo Wenger akijibu matakwa ya mashabiki amesema hivi karibuni kwamba tatizo kuu lililoikumba Arsenal ni kuvuja kwa mabeki walioruhusu magoli mengi yawapite. Msimu uliopita Arsenal ilibugia jumla ya mabao 43 na mengi yalitokana na mipira ya kutuliza.

Kwa hiyo suluhisho alilopata ni kuwasaka Mabeki warefu watakaoweza kushindania mipira ya juu.

Wenger anasema kuwa tulifungwa mabao mengi ya kupanga na siyo katika mchezo kama ulivyo, kwa hiyo tunahitaji wachezaji wakubwa kwa umbo na warefu kuliko hawa tulio nao. Tunahitaji nguvu ya kupambana dhidi ya mambo fulani fulani kuliko tulivyoweza msimu huu.

Arsenal imeshirikishwa na majina kadhaa ya wachezaji ambao inaweza kuwasajili ili kuleta ile tofauti ya anga.

Miongoni mwao ni Gary Cahill na Mamadou Sakho, hawa wanatazamiwa kuimarisha safu ya ulinzi.


Ingawaje yote hayo yanategemea ni kiasi gani cha fedha alizonazo Wenger. Imearifiwa kuwa beki aliyetajwa hapa Gary Cahill wa Bolton itabidi kuwa na kitita cha pauni milioni 20 kumngoa. Hapa inaonekana Wenger atapitwa na vilabu vingine kutokana na uwezo.

Ukiangazia Ufaransa, beki wa Paris Saint-Germain, mrefu na ni mwamba ambaye wadadisi wote wa soka wanaonelea huyo ndiye mchezaji ambaye Wenger anahitaji.

Halikadhalika Arsenal inatazamiwa kusajili mshambuliaji wa kutegemewa kumsaidia Robin van Persie ambaye hakosi kujeruhiwa kila msimu.

BBC Swahili - Soka - Wenger ataka Mabeki warefu msimu ujao
 
Nikweli kabisa mapenzi ktk team Inatoka moyoni na cvinginevyo😛 Mfano ni jinsi gani VICENT KIGOSI (RAY) alivyo danganya uma kuwa Baca akifunga Man ataamia Asernal, ni kitu ambacho ikuwezekana.
Kwa iyo kuhama team hakiwezekani:
 
So the best striker in the world (TM) anataka kuondoka Arsenal..in case you are wondering it's Nicklas Bendtner.
Huyu nae bure ghali, licha ya Wenger kumpatia chance after chance lakini wapi, tuliwakopesha Birmingham misimu 2 nyuma walau ajinoe lakini dogo bado butu, na aende kama nauli tutamchangia.
 
Sisi tuko mbali sana hata kama tutatoa ushauri ni kazi bure,mzee Wenger ni bahiri mno,hata biashara unatakiwa kutumia pesa ili uweze kutengeneza pesa vinginevyo utagain net loss
 
Back
Top Bottom