Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
Wewe ulikuwa Arsenal ukakimbia baada ya kuona wanafungwa ,sema nimeamua kurudi Arsenal
Angalau hajajitoa roho kama yule mwenzake, Omoni.
Wewe ulikuwa Arsenal ukakimbia baada ya kuona wanafungwa ,sema nimeamua kurudi Arsenal
Wasalamu watani..najua Ligi imekwisha..ila urafiki bado haujakwisha....
Salam kwa anko Wacha1.
Wasalamu watani..najua Ligi imekwisha..ila urafiki bado haujakwisha....
Salam kwa anko Wacha1.
Ameonekana akifuta vumbi kwenye makabati ya Emirates. Uwanja mpya lakini vumbi tupu limejaa ndani.
Mkuu unajitafutia magonjwa ya moyo bure bora uje Manutd.Jiandae kupata kikombe cha Babu wa Loliondo.
Nenda katafute kocha kwanza kabla ya kuja kutuwangia huku.
khe khe khe kheeeeeeeeeee kawaulize Arsenal ladies wanakamua vikombe tu na wamekwisha pachika kingine mwaka huu, nyie wakwenu wako wapi? Kazi kuuza unga tu na kuiba kama m k w e r e khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nenda katafute kocha kwanza kabla ya kuja kutuwangia huku.
...Top Managers wa Europe hakuna anayewataka hao, wanajua wanakwenda haribiwa CV zao bureee,
labda Abramovich aje kumchukua Abdallah Kibadeni sasa, '..heh hheehhhe he he!...'
Kwanini hawampandishi cheo kamanda Emenalo?...yeye si ndio kaimu sasa?![]()
Bolstering the squad with 16 year old? Heehe mwendo mdundo.First signings of the summer?
It seems that the transfer market is in full swing and manager Arsène Wenger has wasted no time in bolstering the squad.![]()
Reports have emerged today of the club completing the signings of Barcelona starlets Jon Toral and Hector Bellerin.- Arsena-mania
...mpaka kieleweke!
Bolstering the squad with 16 year old? Heehe mwendo mdundo.
Vipi huu uvumi wa kuwa Man Utd wanamtaka Samir Nasri?
hata niwekewe kisu siweshabikia MAN U hata kwa dawa!