Samir Nasri anatishia nyau tena hehehe.. Kazi mnayo mwaka huu.
Tatizo board yetu ni wabahili sana, sijui ambition yao na hiki kilabu ni nini? Nasri ametaka aongezewe hela wao bodi wanakomaa kama kawaida yao, mwisho wa siku tutamkosa kweli na simlaumu Nasri, tumezidi ubahili, eti Odomwingie tumeweka dau £ Mill 4? yaani hii bodi wanachojali wao ni faida tu! tokea aondoke David Dein hawa waliobaki huku juu ovyo kabisa akiwemo Wenger mwenyewe gademu!!!!!Samir Nasri anatishia nyau tena hehehe.. Kazi mnayo mwaka huu.
Tatizo board yetu ni wabahili sana, sijui ambition yao na hiki kilabu ni nini? Nasri ametaka aongezewe hela wao bodi wanakomaa kama kawaida yao, mwisho wa siku tutamkosa kweli na simlaumu Nasri, tumezidi ubahili, eti Odomwingie tumeweka dau £ Mill 4? yaani hii bodi wanachojali wao ni faida tu! tokea aondoke David Dein hawa waliobaki huku juu ovyo kabisa akiwemo Wenger mwenyewe gademu!!!!!
Hivi Samba anakuja haji? Usikute Wenger kashatupotezea tayari....
Maskini mmekosa matumaini kabisa!!
Maskini mmekosa matumaini kabisa!!
One thing for sure, Wenger yuko bize sana sokoni kwa sasa, kwani kwa mara ya kwanza tokea aanze kufundisha Arsenal yupo kwenye kiti moto,wapenzi walio wengi wamemgeuka na ile chant ya ' spend some money' baada ya mechi ya Fulham bado inavuma masikioni mwake.Wenger is in a mission to suprise us all!
Surprise ya kwanza nimeipata lo baada kuona kwamba tunamtaka Phil Jones na leo dogo kaibukia Man United anafanya medical.Wenger is in a mission to suprise us all!
Wenger is in a mission to suprise us all!
Mkuu nyinyi tayari mumeshasajili wangapi? Naona kule jamvini kwenu umeshawataja zaidi ya 20 lakini so far naona tuko sawa.
One thing for sure, Wenger yuko bize sana sokoni kwa sasa, kwani kwa mara ya kwanza tokea aanze kufundisha Arsenal yupo kwenye kiti moto,wapenzi walio wengi wamemgeuka na ile chant ya ' spend some money' baada ya mechi ya Fulham bado inavuma masikioni mwake.
Young defender Carl Jenkinson joins Arsenal:
Tumemchukua huyu dogo toka Charlton, sio mbaya ila tulitegemea kusaini wachezaji wazoefu haya mambo ya potential yanatuzingua.
from: Young defender Carl Jenkinson joins Arsenal | Reserves News | News | Arsenal.com
Surprise ya kwanza nimeipata lo baada kuona kwamba tunamtaka Phil Jones na leo dogo kaibukia Man United anafanya medical.
Liverpool nao wanakamilisha usajili wa Hernderson. watu wanafanya kweli wenger naona anapiga mahesabu bado.
...:noidea:
Arsenal have completed the signing of promising young full-back Carl Jenkinson from Charlton.
The teenager broke into Chris Powell's first team last season but his contract was allowed to run down. The Addicks, though, remain entitled to compensation of around £1million.
Jenkinson, 19, operates predominantly at right-back, but standing at 6'1" means he can also play at in the centre of defence.
![]()
Gunner stunner: Carl Jenkinson has joined Arsenal after allowing his contract with Charlton to run down
Although born in England, he qualifies to represent both England and Finland through his mother and captained the Scandanavians at Under 19 level.
Read more: Arsenal sign Carl Jenkinson | Mail Online
...acha niendelee kupiga miluzi tu hapa!...:whistle:
Vya bei nafuu vinamadhara jamani hamjifunzi tu? mchezaji wa £1million atasaidia nini kwene timu?
Nyinyi mumenunua Phil Jones kwa paundi Mil 16 kwa bei hio sisi tunaweza kununua timu nzima ya akina Jenkins na rizevu juu wachezaji 16 kwa jumla. :A S thumbs_up::A S thumbs_up:Vya bei nafuu vinamadhara jamani hamjifunzi tu? mchezaji wa £1million atasaidia nini kwene timu?
United step up Nasri pursuit | Sky Sports | Football | Premier League | News
:frusty::frusty::frusty:
Naona United wanakamilisha kumchukua Ashley Young ,bado wanahitaji creative midfielder na sasa bado Nasri au Modric..
Hivi wakuu cost ya kumuongezea mtu mshahara kwa kumsainisha mkataba mpya ni kubwa kuliko ya kununua mchezaji mwingine amabye atakuja kubeba majukumu ya huyo mchezaji plus mshahara wake? Ukilinganisha na Market price ya wachezaji wenye kiwango cha Nasri sasa hivi.