Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Birmingham wanashuka najua washabiki wengi wa Arsenal mtafurahia, naona West Brom wamesawazisha duh.
Wolves wanashingilia kinoma.
Birmingham wamejituma sana watarudi.
Birmingham wanashuka najua washabiki wengi wa Arsenal mtafurahia, naona West Brom wamesawazisha duh.
Ebanae maisha at the bottom of the league mzozo mtupu kama una matatizo ya moyo, Ian Hollway anasema hawakushuka daraja kwa sababu wamefungwa leo bali kwa kushindwa mechi nyingine. Nimemind jamaa kushuka daraja SAF alitakiwa awape droo.
wametufunga la pili , ngoma yetu ngumu sie lol.
Uefa ndio nini hebu tuondolee vumbi hapa. khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeyani nyie Arsenal vilaza kweli...! Tena mnabahati hii EPL ingeongezewa wiki 3 tu mcinge cheza uefa nyie.!
wacha majungu wewe ye kashasema arsenal we unaleta majungu mkuu vipi??umepotea sana bora ushabikie bolton au everton,ukishabikia arsenal unawezakufa kwa presha maaana mtaanza kwa kutafuta kombe na mwishoe mtatafuta nafasi ya 4,kama vipi karibu man.u////
Karibu mpaka Ashgoton Groove Mkuu.Sikuwa mpenzi wa timu za England....ila sasa msimu ujao naanza rasmi kuishabikia Arsenal FC...Hodi hodi washabiki wa Arsenal
Shukrani aisee......na wajue sitajutia uamuzi wangu wa kuwa mnazi wa Arsenalkaribu mkenya