Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nakumbuka kumwambia Wacha hayo maneno na kwamba pia watamaliza nafasi ya nne, hii ilikuwa mara tu baada ya kile kichapo kutoka kwa Birmingham pale Wembley! Lakini jamaa kama kawaida kaleta ubishi bila kuangalia facts, sasa kaingia mitini na aibu mbaya.
Mkuu tuliwaambia kuhusu Domino Effect ya kile kichapo cha Birmingham wakasema tuna chuki binafsi, ooh mwaka huu wao, mara blah blah!!
 
Gunners 4 life,in good and bad time sisi tunakomaa hapahapa, maswahiba nimerudi, nilikuwa Bongo kipindi nauguza Bimkubwa mpaka last week bahati mbaya nimemzika,tupo pamoja msimu umekwisha tunangalia next season. PAMOJA!!
 
Pole sana mkuu kwa msiba na Mungu amlaze mahali pema peponi marehemu.

Tuko pamoja na karibu tena jukwaani.
 
Gunners 4 life,in good and bad time sisi tunakomaa hapahapa, maswahiba nimerudi, nilikuwa Bongo kipindi nauguza Bimkubwa mpaka last week bahati mbaya nimemzika,tupo pamoja msimu umekwisha tunangalia next season. PAMOJA!!
My condolences kaka.. Mungu amlaze mahali pema peponi.
 
Gunners 4 life,in good and bad time sisi tunakomaa hapahapa, maswahiba nimerudi, nilikuwa Bongo kipindi nauguza Bimkubwa mpaka last week bahati mbaya nimemzika,tupo pamoja msimu umekwisha tunangalia next season. PAMOJA!!

Pole kaka binadamu si chochote wala lolote, wote tupo ugenini hapa na njia yetu ni moja. mwenyezi mungu amjalie na kuilaza roho yake peponi.
 
Wangeongezea mechi nyingine nne au tano mngeishia wa tano au sita.

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee niliwambia hamna faraja baada ya kubebwa. Arsenal huwa hatubebwi na tukishinda ni kwa halali khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Blackburn waliwakausha kama mlivyokaushwa Emirates khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee

Mkuu tuliwaambia kuhusu Domino Effect ya kile kichapo cha Birmingham wakasema tuna chuki binafsi, ooh mwaka huu wao, mara blah blah!!

Kama hupati ubingwa kuwa No 2 sucks au tatu etc it does not matter khe khe kheeeeeeeeeeeeeee, uzuri tutacheza mechi mbili za ku-qualify kwenye CL hapo ni mpunga tu unaingia khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee whichever way we are ok.

Nakumbuka kumwambia Wacha hayo maneno na kwamba pia watamaliza nafasi ya nne, hii ilikuwa mara tu baada ya kile kichapo kutoka kwa Birmingham pale Wembley! Lakini jamaa kama kawaida kaleta ubishi bila kuangalia facts, sasa kaingia mitini na aibu mbaya.

Then baada ya kuniambia .. ... kwa hiyo wewe ni shrkhe yahaya basi khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hadithi za Abunuwasi na Bulicheka khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wacha kuja kuwanga na kuleta vumbi hapa nikuletee maneno niliyokwambia before? Mbona tulipowapiga Emirates na mimi nilikwambia kwamba tutawafunga umeona nikichonga meno .... ... go get a life buddy!

Wacha1 nakutafuta kwa udi na uvumba..jitokeze kamanda!!!

Vipi bibie mambo mswano? Nilikwenda kidogo kutafuta tiketi kwa ajili ya Roland Garros
si unajua tena mwaka huu ipo kazi Nole analeta shida kidogo hivyo nimepania nione fainali ya mwaka huu.
Gunners For Life!

Absolutely. The future is bright .... ...

Arsenal's 2003-04 side unbeaten imebaki Olden Times.Itachukua muda mrefu sana kujirudia.Na mwakani kazi ipo kama hawatofanya usajili wa maana wategemee nafasi ya Sita. Deem!

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee kwa hiyo nyinyi mnapohesabu 19 titles ni sawa lakini rekodi za wenzio ni nothing anyway kwanza mnaweka vumbi tu hapa kwenye board yetu kwa nini msishangilie kule kwenu ... .... ........ ... i d i o t s ! mlililia mwe kama chichi lakini wolves waliwakausha. khe khe khe khe khe khe Sungura sizitaki mbichi hizi .... ..... khe khe khe khjeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Naona mmerud kwenye nafasi yenu..lol! inauma lakini..duuh!
Nakumbuka maneno ya Peasant, ....' we will finish ABOVE' u'.....

Ushabiki kaz kwelkwel...

And then what? Wanamfukuza kocha hawa losers ambao hawana historia phew pathetic ... .... .... ... khe khe kheeeeeeeeeeee ondoa vumbi lako humu khe khe kheeeeeeeeeeeee nenda kasome magazeti kwenye bodi yenu ya eqlypz na Ruta khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Gunners 4 life,in good and bad time sisi tunakomaa hapahapa, maswahiba nimerudi, nilikuwa Bongo kipindi nauguza Bimkubwa mpaka last week bahati mbaya nimemzika,tupo pamoja msimu umekwisha tunangalia next season. PAMOJA!!
Mdau pole sana kwa masaibu ya kidunia.
 
Nilikwenda kidogo kutafuta tiketi kwa ajili ya Roland Garros

Una salamu zozote kutoka mafichoni ( kichakani) jamaa yangu? naona umerudi baada ya likizo fupi ya Aston Villa.
Naona umekubali wacha wenywe wacheze Champions League Qualifying: 4th (play-off.) Just refresh my mind last game mlicheza na nani vile? Hebu kamata tano mashabiki washangilie kheeeeeeeeeeeeeeee, kheeeeeeeeeeeeeeee, kheeeeeeeeeeeeeeee, kheeeeeeeeeeeeeeee, kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeee
 
Gunners 4 life,in good and bad time sisi tunakomaa hapahapa, maswahiba nimerudi, nilikuwa Bongo kipindi nauguza Bimkubwa mpaka last week bahati mbaya nimemzika,tupo pamoja msimu umekwisha tunangalia next season. PAMOJA!!

Pole sana jamaa yangu.Karibu tena .
 
Gunners 4 life,in good and bad time sisi tunakomaa hapahapa, maswahiba nimerudi, nilikuwa Bongo kipindi nauguza Bimkubwa mpaka last week bahati mbaya nimemzika,tupo pamoja msimu umekwisha tunangalia next season. PAMOJA!!

Tutakomaa hivo2 mkuu japo inauma.
 
Gunners 4 life,in good and bad time sisi tunakomaa hapahapa, maswahiba nimerudi, nilikuwa Bongo kipindi nauguza Bimkubwa mpaka last week bahati mbaya nimemzika,tupo pamoja msimu umekwisha tunangalia next season. PAMOJA!!

Pole sana chief kwa msiba. Our beloved ones are always more important than football, it's really sad to hear such bad news.
 
Khe khe khe zimerejea. Baada ya kuugulia na maumivu kupungua 😛ound:

Wewe nae timu yako ya vichochoroni iko wapi? Wacha ngebe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unaleta vumbi tu hapa nenda kwenu. Toto tundu hili hata likifukuzwa halirudi kwao naona nyumbani kwao kuna njaa linasubiri msosi. Lipeni makande ya jana lile lishibe liondoke khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee, makande yenyewe yalipikwa kwa ajili ya nguruwe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Arsène Wenger has warned Fabio Capello and Stuart Pearce to expect a backlash if Andy Carroll were to be stood down from the England Under-21 squad for the European Championship next month.

The Arsenal manager is upset that Jack Wilshere looks set to be named in Pearce's 23-man squad for the finals in Denmark, which take place between 11 and 25 June, despite his having graduated to Capello's senior team. Wilshere, who has made 54 appearances for club and country at all levels this season, is expected to play for Capello's side in the Euro 2012 qualifier against Switzerland on 4 June.
http://www.guardian.co.uk/football/2011/may/20/arsene-wenger-andy-carroll-under-21/print
 
Denílson tells Arsenal he is tired of not winning and wants to leave

Denílson, Arsenal's Brazilian midfielder, has told the club that he wants to leave after becoming frustrated at their lack of success.

"This has been the worst season of my life, and I am so upset," he said. "I am a winner and I came here to win trophies but I've been here for five years and won nothing. Until Arsenal stop throwing away silly points in stupid games nothing will change."
.... http://www.guardian.co.uk/football/2011/may/20/denilson-arsenal-leave/print
 
Mkuu Rutashubanyuma nadhani uwe unawafikiria wadau wanaotumia mobile phone kucheck JF, jitahidi kuwa unaweka links badala ya habari nzima nzima kuanzia kichwa cha habari hadi comments.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Wakuu tuko pamoja mie macho yako viwanja vyote leo vyenye mechi muhimu, kwahio tunaweza kupena habari kutokana na matokeo yanavyoingia.
 
Back
Top Bottom