Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Niliwauliza ilo swali wiki iliyopita, Man Citeh sasa hivi wana moto na hawataki mambo ya kuqualify for group stages watawapita Arsenal tu.

Nyie hamjui hali tulikuwa nayo sasa hivi, tunasikitisha sana.sipendi sana mechi za ku qualify for group stages zinachanganya habari tu.
 
...AW na Questt, heshima yenu wazee.
Together we stand. Nipo likizo mpaka August.

Mpaka sasa nafasi ya tatu ndio ya kuipigania, nafasi ya pili tuondoe hayo matumaini msimu huu,
na tukiendelea hivi hivi na Arsene Wenger, msimu ujao tutakuwa Mid table team.

Together we stand!
Hizi results zingekuwa nzuri wiki chache zilizopita, leo hazisaidii chochote zaidi ya kutupatia (wapinzani) talking points.
 
Wigan nomaaa ,kweli mwisho wa ligi mtamu sana.
West Ham wameshuka daraja... Nz'ogbia kafunga dakika za mwisho....
Haya watani poleni kwa kichapo, ni ngumu kuamini kuwa at one point mlikuwa kwenye mnagombea makombe manne leo mnagombea nafasi ya tatu. Must be hard for Arsenal fans (sincere).
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
what were arsene's comments after the match? ana lolote la kuelezea? hivi jamani huyu mzee si ameshafika mwisho tena na hana jipya? aondoke tu
 
Upumbavu tu, timu iuzwe sasa manake huu upuuzi umezidi wa kujifanya tuko kwenye budget ya uwanja.

Babu yenu alisema kwamba msimu huu timu yenu imefanya vizuri sana na kumaliza wakiwa nafasi ya pili ni mafanikio. Sasa sijui atasemaje mkimaliza wa nne?
 
Babu yenu alisema kwamba msimu huu timu yenu imefanya vizuri sana na kumaliza wakiwa nafasi ya pili ni mafanikio. Sasa sijui atasemaje mkimaliza wa nne?
Mzee katu cost sana kwa kudharau kufanya usajili january .

Man city akimfunga stoke jumanne wanachukua nafasi ya tatu.

Ni upumbavu sana.
 
Babu yenu alisema kwamba msimu huu timu yenu imefanya vizuri sana na kumaliza wakiwa nafasi ya pili ni mafanikio. Sasa sijui atasemaje mkimaliza wa nne?

Alivyo tangaza kuwa poa na nafasi ya pili tu pale mchezo ulikuwa umekwisha. Mourhino kama angekuwepo angemwambia tena ana "mentality of a looser" lol.
 
Babu amesema pamoja na matokeo haya mabaya hana mpango wa kusajili experienced players, ataendelea na sera yake ya kusajili makinda, na ashakula timing ya kuingiza makinda watatu kipindi cha usajili cha Summer
 
Uzuri wake leo fans wamewazomea , kitu ambacho hakijawai kutokea emirates na ujumbe utakuwa umemfikia wenger na board yake kwamba watu wamechoka.
 
What happened today? Didi all 3 teams Liverpool, Arsenal and Chelsea gave away the games? Yaani hakuna motivation au sense of urgency?

THe way Chelsea played today, demonstrates the whole picture of how thier season was this year! Mediocre just like jamaa wa Magogoni!
 
Mzee katu cost sana kwa kudharau kufanya usajili january .

Man city akimfunga stoke jumanne wanachukua nafasi ya tatu.

Ni upumbavu sana.

...Gaffer kaishiwa tactics, mpaka asst Manager wa Villa -Garry McAllister kamzidi mbinu?

Back to reality, Man Citeh jana kamfunga Stoke kwenye FA cup final,
jumanne anamzika kabisaaa!... Ours will be 4th Spot!

he he he,...yataka moyo lakini 'Together We Stand!' hivyo hivyo.
 
Naona the Orijino Mungiki Wacha Wacha katokomea, hata picha za kuonyesha Cech akizubaa ile free kiki hakuna?
 
Back
Top Bottom