Hadi pale FA watakapobadili mtindo wa kuchagua marefa mtaendelea kushinda sio kisoka bali kwa bahasha khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nafahamu roho inawauma kwa sababu mwenye raha huwa hatangi tangi kutafuta faraja.
Wacha1
Tatizo la Arsenal sio marefa....Tatizo no kocha/meneja
Arsene Wenger,
-AW hana jipya tena,ameishiwa,Arsenal tunahitaji meneja mwingine na si huyu,ningekuwa na uwezo ningemfukuza tangu mwaka 2007,hana mbinu za ushindi na hawezi tena kuijenga timu inayoweza kuchukua ubingwa wa EPL,na cha kushangaza haoneshi hata kujutia maumivu anayotuletea sisi mashabiki wa Arsenal,na tayari kasikika akiendeleza upuuzi wake wa kusema kwamba haoni umuhimu wa kusajili mchezaji yoyote yule,kweli?????...
-Arsene kwa uwezo aliofikia sasa ni bora arudi tu Ufaransa akafundishe Ligue 2 maana hastahili hata kufundisha Ligue 1(yes I said it,hastahili hata kufundisha Ligue 1),Arsenal hatuhitaji kuwa na wachezaji wazembe na walegevu aina ya Sebastian Squillaci,Laurent Koscienly,Abou Diaby,Marouane Chamakh,Nicklas Bendtner,Manuel Almunia,Jens Lehmann,Lucas Fabianski,Thomas Rosicky na wazembe wazembe wengine....Pia Arsenal tunapaswa kujua kwamba ili timu ichukue ubingwa inabidi ijengwe na wachezaji madhubuti,na kuwa na timu iliyo imara ni gharama,sasa sisi tumekuwa bahili kiasi cha kutia aibu.....
-AW anapaswa kufukuziwa mbali,simpendi kwa kweli na siipendi tabia yake ya kuwakumbatia wachezaji wafaransa wenzake anaowanunua kwa bei za madafu na wasio na viwango....
AW akiendelea kuwepo Arsenal tutaendelea kuwasindikiza Man Utd,Chelsea(na tukizubaa yetu itakuwa nafasi ya 6 nyuma ya Man City,Spurs na Liverpool ambao wanarudi kundini kwa spidi ya ajabu........
Bala