Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haya bana Acha tuendelee kuugulia na maumivu
Tule kwanza ugali Mkuu wangu
Maisha ni hayahaya
JamiiForums1421145641.jpg
 
Kim Kardashian amemuahidi Saka kuwa ataenda Emirates tena kama Saka atabeba Premier league so kwa hasira atakazokuwa nazo Saka subiria Magoli na Ma assist ya kutosha
Mkuu Saka ameshaisha, ni aibu hajadumu kwa muda mrefu kwenye kiwango. Wachezaji wa aina hiyo (left hand) chenga zao ni za upande mmoja wakishajuliwa na mabeki ndio basi tena.
 
Hawa nzi waliojaa humu kufikia kesho jioni kila mmoja atakimbilia jalala lake
Bado una matumaini na hako katimu..
Hivyo ni vitoto vinarukaruka havijui hata target ya mechi ni kushinda, bado vina akili ya kitoto ya "chenga twawala"
 
Back
Top Bottom