hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,296
- 26,695
Huyu EPL itamshinda , Arsenal tuna squad ya wachezaji 26 tu ,wao Wana squad ya wachezaji 31Tofauti ya kocha na msimamizi wa mazoezi.
Tumekuwa na majeruhi wakutosha lakin tunasonga mbele ,
Huyu EPL itamshinda , Arsenal tuna squad ya wachezaji 26 tu ,wao Wana squad ya wachezaji 31Tofauti ya kocha na msimamizi wa mazoezi.
Kulalamika majeruhi anafanya uswahili tu, kabla ya kuanza ligi yote haya unakuwa unayajua, ni swala la kujipanga maana majeruhi hayaepukiki.Huyu EPL itamshinda , Arsenal tuna squad ya wachezaji 26 tu ,wao Wana squad ya wachezaji 31
Tumekuwa na majeruhi wakutosha lakin tunasonga mbele ,
Arteta is expected to name a strong team for this last-16 clash, with Gabriel Jesus pushing for his first start since November.
).Jesus is back (jcb)
Arsenal NDOO
Haaland kiatu
Mechi ngumu ilikua na Bournemouth ambae tulimpiga kamba 3
Aliempiga mtu wiki (7up) akalala chuma moja kwa Bournemouth
Sasa hawa waliobaki wote watatembezewa FIMBO tu
Nyie vinyago mpoo. Somaaaaa hapoooooKuna watu wanakwambia Tuna kikos finyu
Arsenal Bench today: Matt Turner, Tierney, Nelson, Vieira, Jorginho, Jesus, Smith Rowe, Tomiyasu & Holding
With Eddie & Kiwior still to come![]()
Kwahiyo ndo umechukua kombe au?Nyie vinyago mpoo. Somaaaaa hapoooooView attachment 2554268
Kuanzia kocha wenu had mashabiki mnaiwaza Arsenal tuKuna kila dalili leo Arsenyo anaaga mashindano.
Arsenyo 1 - 3 FCP
Agg (3-5)
Mnahela yangu nyie leo Sasa ole wenu mzingue.Sporting leo wajiandae , Emirates huwa hatucheki na kimaView attachment 2554329
Wewe jamaa miyeyusho sana juzi likawa linakimbia huko kwenye jukwaa lao arsenal anaongoza moja halijakaa sawa hilo kapiga cha pili punguza kimbelembele mtoto wakiume unakuwa na wenge sanaNyie vinyago mpoo. Somaaaaa hapoooooView attachment 2554268
MIKOJO SABA aliyokukojolea Liverpool mimba inaendeleaje??Kuna kila dalili leo Arsenyo anaaga mashindano.
Arsenyo 1 - 3 FCP
Agg (3-5)
Kuna Radha inapungua ,huwa inachagizwa na Odegaard,ParteyFootball yetu ya EPL kwenye Europa haipo kabisa game tight sana hii roho juu juu