Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Najua mlipenda sana kukutana na sisi next stage ila Mungu kawapenda zaidi[emoji22][emoji22]

Poleni tutaonana next season.

Ramsdale jana usiku akijaribu kuzuia penalty [emoji16][emoji16]
20221024_200730.jpg
 
Kwanza Arteta kakosea mwanzo kumuanzisha Ramsday, ilikua haina umuhimu kumuanzisha, yule kipa mmarekani asingetoka golini kufungwa goli lile la kipuuzi
 
Arteta ni mbaguzi, anatengeneza mazingira ya kumfukuza Tierney wakati ni mchezaji mzuri, Aron hakustahili kuanza kabisa goli kafungisha yeye kaharibu kila kitu
 
Pia Gorginho sio wa kutegemea hata kidogo, sioni kama ni mzuri uwanjani kama watu wanavyomsifu, pia goli kufungwa kasababisha yeye
 
Nyie mnasema tunachezaga mpira wa ujanja ujanja tulishawaambia hapa kama ni rahisi kucheza mpira wa ujanja ujanja chezeni hata msimu mmoja tu mbebe hata ueropa.

cheki kilicho wakuta sasa tuonane mwakani tu nyie ni sawa na yanga nzuri kwenye ligi kimataifa bado sana komaeni kwanza hapo Epl.

Namsipo jiangalia hata EPL mtakosa najua mnajua mnakimbizana na nani mkaze kweli kweli.View attachment 2554701
Hili swali huwa najiuliza sana, Arsenyani kucheza mpira mzuri kumewasaidia nini?

Sisi tunaosemwa tunacheza mpira wa ujanja-ujanja tumefika robo fainali za makombe yote na tayari tumebeba Carabao Cup.
 
Nikajua ni old Trafford tu uwanja unavuja kumbe hata Emirates hakuna kitu ,mvua inanyesha maji yanamwagika mpaka kwenye seats watu wananyanyuka wasilowane,wanaacha kuaangalia mpira wanaanza kupambana na mvua isiwalowanishe ,utafikili wako ccm kilumba [emoji23][emoji23][emoji23]...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom