Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Arsenyeto mmeyakanyaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2555192
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] computerarsenal kwa afya yako ya kimwili na akili nakushauri achana na hili timu la mapapai, utakuja kunishukuru baadae.Very painful bado sijapata nafuu hadi sasa View attachment 2555415
Hii hapaMWENYE PICHA YA CHEUSI SAKA ANITUMIE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunakumbushana kwa nia njema tu, kwenye Epl mkiachana na hizi mechi za katikati na kina Liverpool fixtures zenu za mechi za mwisho kabisa wa ligi ni hizi hapa. View attachment 2555506
Uyu nayeye ni mlezi wa wanna?!
Hii ni chenga ya mwili na akili 🤣🤣🤣Teh teh[emoji23]View attachment 2555447View attachment 2555448
Alisikika mlevi mmoja 😂😂😂😂Arsenal trophy [emoji471] rahisi kulibeba ni la Europa league tuombe Mungu tulibebe halina stress at all sio kama EPL
Kama kikombe Cha europa ndio hiki? Cha uefa mutaweza kukinywa?Kweli sporting ndio wakutusumbua namna hii?kina Bayern itakuwaje sasa?
Muoneshe na yule m**nga anaitwa hamis77 . Wewe computerarsenal una akili kubwa kwenye ukweli unasema waziwazi.Very painful bado sijapata nafuu hadi sasa View attachment 2555415
Arsenal hapo atatoboa kweli? Mimi napenda abebe EPL huyu Arsenal ila kwa hiki kikombe kitanywewa kweli?Tunakumbushana kwa nia njema tu, kwenye Epl mkiachana na hizi mechi za katikati na kina Liverpool fixtures zenu za mechi za mwisho kabisa wa ligi ni hizi hapa. View attachment 2555506