Sweta LA Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 902
- 2,836
M a m a eView attachment 2555742
Kichwa ka GOVI
M a m a eView attachment 2555742
Kichwa ka GOVI
Title gani... hamchukui chochote mwaka huu
Professor of failure JRView attachment 2555742
Kichwa ka GOVI
Mmechukua kombe lini mpk mtafutwe, nyie kusemwa semwa kawaida yenu, kombe kubwa mlilowahi kuchukua ni FA, sasa timu mnayoiita kubwa mafanikio pekee ni FA kweli? Hiyo ni timu ndogo, Nottingham Forest na Aston villa ni wakubwa kuliko Ass'anal, hata Leicester ni kubwa kuliko nyie mana wana EPL wamechukua juzi tu, nyie hamjawahi kuchukua kombe lolote la maana mwaka wa hamsini huu.Kumbe hua mnatunza maneno ya hivi kwa muda mrefu sana, huwez amin Arsenal ndio timu inayotafutwa saaana iharibu tu ishambuliwe vya kutosha toka jana mnaongelea hili hili, na leo ndo mwisho wenu tena wa kuongelea hayo, maana ni kawaida hua mkiongea hiv mnakaa nayo mechi 10 mbele ndo mnaongea tena.
Bro,hebu kula kwanza ugaliKumbe hua mnatunza maneno ya hivi kwa muda mrefu sana, huwez amin Arsenal ndio timu inayotafutwa saaana iharibu tu ishambuliwe vya kutosha toka jana mnaongelea hili hili, na leo ndo mwisho wenu tena wa kuongelea hayo, maana ni kawaida hua mkiongea hiv mnakaa nayo mechi 10 mbele ndo mnaongea tena.
Nimecheki kwenye clip jamaa alikaribia kufa wana arsenal acheni kamari zitawauwaleo wale wachambuzi uchwara wote wamefyata mdomoView attachment 2554850
Sauti haijatosha, iweke kwa capital letters ili waupate vizuri huu ukweli.Mmechukua kombe lini mpk mtafutwe, nyie kusemwa semwa kawaida yenu, kombe kubwa mlilowahi kuchukua ni FA, sasa timu mnayoiita kubwa mafanikio pekee ni FA kweli? Hiyo ni timu ndogo, Nottingham Forest na Aston villa ni wakubwa kuliko Ass'anal, hata Leicester ni kubwa kuliko nyie mana wana EPL wamechukua juzi tu, nyie hamjawahi kuchukua kombe lolote la maana mwaka wa hamsini huu.


hii ubebwa mkifika fainal na mshinde,fainal ni nini? fainal ni mechi kati ya timu mbili ambazo zimeshinda quarter, zikashinda semi alaf ndio zikakutana hiyo ndio fainal

KabisaJesus karudi vzr
Ana Moto sana

Kim Kardashian amemuahidi Saka kuwa ataenda Emirates tena kama Saka atabeba Premier league so kwa hasira atakazokuwa nazo Saka subiria Magoli na Ma assist ya kutoshaSisi tukiingia kimkakati tunachukua hili kombe sema saivi priority ni ligi hio mwakani tutabeba asubuhi nakwambia Moto huu ni miaka 4 so mkae kwa kutulia Wala hatuna haja ya kupaniki saivi tuko top 5 ya timu Kali dunian kwa Mpira
tunaotandaza kwa England only man cty juu yetu kiubora,
Na kibaya zaidi kwa wapinzani wetu hii timu itaenda misimu 5 ikiwa ya Moto nyie mtacheka mwaka huu lakin ndio mwaka wa kuanza habari yetu.
Yaan mim Sina was wasi kabisa arteta anauwezo wa kuunda kikosi cha pili chenye quality hii hapo ndio maji mtaanza kuita mmma Wana Gunners wenzangu tuendelee kuleta mauchambuzi na kupuuza timu ambazo zinajitafuta






Sasa nimeiona hii Sasa mbona washabiki wa arsenal wanamind Kim kwa kumpigia Saka hio video callKim Kardashian amemuahidi Saka kuwa ataenda Emirates tena kama Saka atabeba Premier league so kwa hasira atakazokuwa nazo Saka subiria Magoli na Ma assist ya kutosha![]()
Hayo ma mama yataharibu kiwango cha dogoKim Kardashian amemuahidi Saka kuwa ataenda Emirates tena kama Saka atabeba Premier league so kwa hasira atakazokuwa nazo Saka subiria Magoli na Ma assist ya kutosha![]()
Ingekuwa hasira ndio kuscore basi Mo Salah angewachapa Madrid hata bao 30Kim Kardashian amemuahidi Saka kuwa ataenda Emirates tena kama Saka atabeba Premier league so kwa hasira atakazokuwa nazo Saka subiria Magoli na Ma assist ya kutosha![]()
Kim si unamjua akikutaka huchomokiSasa nimeiona hii Sasa mbona washabiki wa arsenal wanamind Kim kwa kumpigia Saka hio video call



Haya bana Acha tuendelee kuugulia na maumivuIngekuwa hasira ndio kuscore basi Mo Salah angewachapa Madrid hata bao 30
Good morning from this sideView attachment 2556173