Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu imefululiza mechi zaidi ya kumi bila ushindi. Kabla ya kukutana na Arsenal mnatimua kocha.
Hizi njama dhidhi yetu mbona zimezidi? Crystal Palace wangesubiri wacheze na sisi kwanza wangeshuka daraja? Sasa wanataka yale ya Everton yajirudie ?
[emoji23][emoji23][emoji23] Arsenal ndio timu iliyoteuliwa kuwakaribisha makocha wapya kwenye Epl.
 
Crystal palace anaweza kutupa ile kitu roho inataka, ngoja tuweke kambi.
 
Yani kichapo Cha sporting kimewatawanya kabisa hata kupost kikosi mnashindwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom