Sisi kama chelsea Jorginho tulikuwa hatumkali na Ndio mchezaji alikuwa anaongoza kwa criticism za mashabiki pale darajani baada kuwapa ndio mashabiki wenzako wa Arsenal wakawa baadhi wanamsifiaPia Gorginho sio wa kutegemea hata kidogo, sioni kama ni mzuri uwanjani kama watu wanavyomsifu, pia goli kufungwa kasababisha yeye