Saliba hayupo ,hivo hatuwez kuanzia nyuma na beki holding atatuchomaHawa jamaa hatari sana midfield yetu imezidiwa kabisa Arteta amuingize Odegaard tu timu inaogopa kabisa kucheza kuanzia nyuma kila mtu anaukimbia mpira nafikiri Trossard pia inamfaa hii mechi.jamaa kila mchezaji anakaa na mali na anakimbia Arteta atulize kichwa sana
Xhaka na Vieira wana njano nilazima ampunguze mmoja tukipungua hii mechi itakua ngumu zaidi kwakua watu wanakimbia sana ukimgusa mtu tu unakula umemeKikosi hiki hiki kinawatoa hawa Sporting.
Hao akina Partey, Saka, Trossard na Ødegaard labda awaingize wakapashe tu, lakini still hii mechi ni ya akina Jorginho, Fabio na Nelson.
Baadae akiingia KT itapendeza zaidi.
Not true labda huangalii game bro hali ni mbaya kama tunataka kwenda quarter finals hawa watu kwa sasa wana umuhimu tatizo defenders wetu wawili wameumia zimebaki nafasi 3 pekee so mmoja kati ya hao hatachezaKikosi hiki hiki kinawatoa hawa Sporting.
Hao akina Partey, Saka, Trossard na Ødegaard labda awaingize wakapashe tu, lakini still hii mechi ni ya akina Jorginho, Fabio na Nelson.
Baadae akiingia KT itapendeza zaidi.
Sijui why Arteta alimtoa Jesus na kuacha kina Vieira hapo midNot true labda huangalii game bro hali ni mbaya kama tunataka kwenda quarter finals hawa watu kwa sasa wana umuhimu tatizo defenders wetu wawili wameumia zimebaki nafasi 3 pekee so mmoja kati ya hao hatacheza
Litaingia kwenye Puskas Award.Hayo magoli tumeyamisi sana aisee
Endelea kuota we pimbi MalcolM XIIKikosi hiki hiki kinawatoa hawa Sporting.
Hao akina Partey, Saka, Trossard na Ødegaard labda awaingize wakapashe tu, lakini still hii mechi ni ya akina Jorginho, Fabio na Nelson.
Baadae akiingia KT itapendeza zaidi.
Probably goli bora la EUROPA pia so farLitaingia kwenye Puskas Award.
Majeruhi miezi mitano tenaSijui why Arteta alimtoa Jesus na kuacha kina Vieira hapo mid
Sana mkuu wanaupiga mpaka unamwagika
Goli bora la mashindano hili. Hii sporting ina wachezaji bora mno.
rahisi kulibeba ni la Europa league tuombe Mungu tulibebe halina stress at all sio kama EPLBora wewe umeona, umepoteza beki wawili na hatujui hali ya Jesus.😀😂😅😂😂😂😂😂😅😂😂😅😂😂😂😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🥹Kweli sporting ndio wakutusumbua namna hii?kina Bayern itakuwaje sasa?