Inawezekana tukaenda mikono mitupu this season hili ndilo lililokuwa trophyya uhakika Acha nikeshe tu kwa uchungu mzito sana


Arteta naona anataka tuzingatie epl, yasije ya Liverpool mwaka jana
Hii ndio ilikuwa trophyArteta naona anataka tuzingatie epl, yasije ya Liverpool mwaka jana
ya uhakika huko EPL ni mtihani mzito 





mamanina Arsenal bora hata mgecheza saa 3 kasoro tutafute usingizi sasa hivi usingizi unatoka wapi tena?Hii ndio ilikuwa trophyya uhakika huko EPL ni mtihani mzito
mamanina Arsenal bora hata mgecheza saa 3 kasoro tutafute usingizi sasa hivi usingizi unatoka wapi tena?


hua hakuna usingizi uliochanganyika maumivu na hasira, we jiandae kukesha tu, utalala asubuhi wenzako tukiamka.




Arteta aliidharau sporting na wamemfunza adabu pumbavu zake, game ya kwanza ilitosha kabisa kuingia robo fainali laiti kama angepanga full mkoko.




nna machungu ila nmechekaTuna imani na Arteta, M. Arteta - mikumi tena.Inawezekana tukaenda mikono mitupu this season hili ndilo lililokuwa trophyya uhakika Acha nikeshe tu kwa uchungu mzito sana




Nawapa pole alafu naendelea kulala ntakuja kuwacheka asubuh View attachment 2554499

Sio alitaka uwezo wa team Umeishia hapo mzee.. Madg Wamecheza vzr wamepambana leo mlicheza kwenu lkn sio kwa kiwango kzr, Uwezo wenu uliishia hapo.Arteta naona anataka tuzingatie epl, yasije ya Liverpool mwaka jana, coz hatuna kikosi kipana
Tuna imani na Arteta, M Arteta mikumi tenaHii ndio ilikuwa trophyya uhakika huko EPL ni mtihani mzito
mamanina Arsenal bora hata mgecheza saa 3 kasoro tutafute usingizi sasa hivi usingizi unatoka wapi tena?
Itakuwa ni laana kwa Arsenal ya season hii kwenda trophy less abadani na ninaona season hii tukiqualify champions league but no trophy ohh my God

