hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Trossad jana kuna pasi ali mpa xhaka daaah[emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119] ilikuwa goal la 4
Kwenye mfumo wa 4-3-3 wenye double 8 ,unatoa nafasi kwa front 3 na hawa namba 8 wawili kufunga Sana na kutengeneza Sana mabao
Ile front 3 pamoja na Jesus aliyekuwa injury wamechangia kila mmoja Goli 10+
Xhaka angekuwa makin angetoka msimu huu na Goli 7-10
Fabio Vieira ambaye anatokea bench kachangia Goli 8
Arsenal Wana mpango wa kumchezesha Smith Rowe na Vieira eneo Hilo analocheza Xhaka ,lakini pia Kuna tetes za Ikay Gundogan kuja msimu ujao