Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuna imani na EPL aseno number moja milele

Kwaiyo Arsenal haina uwezo wa kupambania makombe mawili ndani ya msimu mmoja ?
 
Huyu mzee aliwezaje
IMG_20230302_221909.jpg
IMG_20230227_153105.jpg
 
Inawezekana tukaenda mikono mitupu this season hili ndilo lililokuwa trophy ya uhakika Acha nikeshe tu kwa uchungu mzito sana
Nyie mnasema tunachezaga mpira wa ujanja ujanja tulishawaambia hapa kama ni rahisi kucheza mpira wa ujanja ujanja chezeni hata msimu mmoja tu mbebe hata ueropa.

cheki kilicho wakuta sasa tuonane mwakani tu nyie ni sawa na yanga nzuri kwenye ligi kimataifa bado sana komaeni kwanza hapo Epl.

Namsipo jiangalia hata EPL mtakosa najua mnajua mnakimbizana na nani mkaze kweli kweli.
20230128_070952.jpg
 
Arteta aliidharau sporting na wamemfunza adabu pumbavu zake, game ya kwanza ilitosha kabisa kuingia robo fainali laiti kama angepanga full mkoko.
Tulieni nyie sio kila muda mnakuja kutupigia kelele kule kuwa ten hag muoga kikosi kile kile kila siku.

hafu tubebe haka kakombe mje mseme tumefunga timu rahisi rahisi.
 
Kichekesho ni atatolea shabiki atakuambia "Bora tumetoka ili tufocus na ligi"

Kumbukumbu zangu zinaniambia tangu Aaron aje Arsenal hajawahi daka penati hata moja. Kama unaikumbuka ya Fernandes, Fernandes alitoa nje huku Aaron akiwa kaenda upande mwingine.

Kwa timu ambayo ina hamu ya kushindana na timu za nje ya Uingereza benchi letu ni la hovyo, kuna wachezaji hata kama tunawapenda vipi inabidi waende. Juzi dhidi ya Fulham nilisema Vieira siyo physical game ya hivyo inamsumbua kuna kiazi kikataka kuanzisha ubishi.

Na kuna wale mashabiki wana ile "We will try again next time" kiukweli hapana ifike muda tujue muda gani wa kukomaa na muda gani wa kusema hapa itabidi nisubiri.
Vieira physical yake bado

Jorg jana alikua anajificha hataki kupokea mipira kabisa

Arteta inabidi ajipange sana kwa ajili ya knockout games kama hizi misimu mitatu hii tunatolewa hapohapo Emirates
 
Hii ndio ilikuwa trophy ya uhakika huko EPL ni mtihani mzito mamanina Arsenal bora hata mgecheza saa 3 kasoro tutafute usingizi sasa hivi usingizi unatoka wapi tena?
Itakuwa ni laana kwa Arsenal ya season hii kwenda trophy less abadani na ninaona season hii tukiqualify champions league but no trophy ohh my God
Squad selection jana alifeli Arteta

Saka anahitaji mtu ule upande wake unaona kabisa Reiss hatoshi
 
Back
Top Bottom