Inawezekana tukaenda mikono mitupu this season hili ndilo lililokuwa trophy [emoji471] ya uhakika Acha nikeshe tu kwa uchungu mzito sana
Arteta naona anataka tuzingatie epl, yasije ya Liverpool mwaka jana, coz hatuna kikosi kipana
Wana watu wanakaa na Malii balaaa.. summer watauza sana tuTunawashukuru Sporting kwa kutupatia Bruno Fernandes, timu yao ina watoto wanajua mpira kwelikweli.
KK kaja na gundu 🤣🤣🤣🤣🤣Atmosfea ya pale Emiretsi akija mgeni hatoki. Hahah! siyo kwa wareno. 😂
Makombe yote mnatolewa, mna-focus na Premier League siyo!? 😂😂😂
Atmosfea ya pale Emiretsi akija mgeni hatoki. Hahah! siyo kwa wareno. [emoji23]
Makombe yote mnatolewa, mna-focus na Premier League siyo!? [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kibaraka wetu kutoka chelsea ndie anaongoza kikao cha wapuuziMoja ya vikao vya kipuuzi kuwagi kutokea duniani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]View attachment 2554506
Acha hizo ww arsenyeto, kama ni hvy kwann msingetoka tangu mwanzo.? Tulieni na kwenye EPL tuwakuleArteta naona anataka tuzingatie epl, yasije ya Liverpool mwaka jana, coz hatuna kikosi kipana
Msikieni huyu boyaArsenal trophy [emoji471] rahisi kulibeba ni la Europa league tuombe Mungu tulibebe halina stress at all sio kama EPL