Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu mwamba arudi tu.. Haya ndio mambo nketiah hana.
Huyu ndio alikuwa anamfanya martinelli anafanya vizuri upande wa kushoto.
Mwamba anashambulia kutokea kushoto, kati na kulia.

Kwangu naimani magoli yatakuja tu, ila mchango wake ni mkubwa saana kwenye matokeo ya timu.
Beki hazikai kwa amani.
 
Attachments

  • VID-20230221-WA0003.mp4
    4.7 MB
Huyu mwamba arudi tu.. Haya ndio mambo nketiah hana.
Huyu ndio alikuwa anamfanya martinelli anafanya vizuri upande wa kushoto.
Mwamba anashambulia kutokea kushoto, kati na kulia.

Kwangu naimani magoli yatakuja tu, ila mchango wake ni mkubwa saana kwenye matokeo ya timu.
Beki hazikai kwa amani.
Jamaa anaujua sana.
 
Back
Top Bottom