HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Yaani Kila kitu kipo Kwa ajili yetu ila tunazingua balaaArsenal ubingwa unatupenda ila sisi tuazingua City kadroo huko.
Yaani Kila kitu kipo Kwa ajili yetu ila tunazingua balaaArsenal ubingwa unatupenda ila sisi tuazingua City kadroo huko.
Kwa hiyo City akidraw unakuwa bingwa? [emoji35] joseph1989 . Yaani bado mechi 18 unawaza ubingwa? Kijana wewe wa mwaka 1989 mbona unakuwa mjinga hivi.Arsenal ubingwa unatupenda ila sisi tunazingua City kadroo huko.
[emoji58]Mwaka wetu huu View attachment 2521951
Sasa nisipo waza ubingwa unataka niwaze nini?Kwa hiyo City akidraw unakuwa bingwa? [emoji35] joseph1989 . Yaani bado mechi 18 unawaza ubingwa? Kijana wewe wa mwaka 1989 mbona unakuwa mjinga hivi.
Kumbuka kuzingua kwetu ndo kunawapumbaza CityYaani Kila kitu kipo Kwa ajili yetu ila tunazingua balaa
Tatizo lako huna msimamo. Unamponda mchezaji halafu dakika mbili mbele unaanza kumsifia tena. Mechi ndo kwanza ilikuwa dakika za mwanzo ila ukaanza kumlinganisha Arteta na Emery. Mbele kidogo ukiona matokeo unabadili gia tena. Unakuwa kama hutambui uliposimamia ni wapi.Ilibidi timu ubadilike second half ili iweze kupenya kwenye back 4 ya villa ndio maana unaona hata attempts ziliongezeka kwetu. Hili ndio nilikuwa namaanisha but for buffoon like you it is hard to understand
peleka UCHOKO wako huko shoga weweKwa hiyo City akidraw unakuwa bingwa? [emoji35] joseph1989 . Yaani bado mechi 18 unawaza ubingwa? Kijana wewe wa mwaka 1989 mbona unakuwa mjinga hivi.
Tatizo lako huna msimamo. Unamponda mchezaji halafu dakika mbili mbele unaanza kumsifia tena. Mechi ndo kwanza ilikuwa dakika za mwanzo ila ukaanza kumlinganisha Arteta na Emery. Mbele kidogo ukiona matokeo unabadili gia tena. Unakuwa kama hutambui uliposimamia ni wapi.
Hakuna anayekuzuia kutoa maoni ila ni bora uwe unangojea dakika tisini kuliko kubadilika badilika rangi namna hiyo.
Binafsi nimeona moments nyingi zilizoashiria hatuna mid nzuri au hakuna maelewano kati ya Xhaka na Jorginho
Jogin achukue nafasu ya shaka
Pale kwa Xhaka panamshinda sikuiz, panamfaa zaid Fabio,Hapana, Jorginho tayari yupo kwenye nafasi yake. Huyo Shaka atafutiwe mwenigne wakupishana nae.