Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jersey za msimu wa 2023/2024
BEI…25000
0788929673
 

Attachments

  • 489d888b-b3ce-4906-9c62-a21f6ef5a55b.jpg
    489d888b-b3ce-4906-9c62-a21f6ef5a55b.jpg
    204.3 KB · Views: 16
Mancity akikaa kileleni hatoki Tena[emoji1787][emoji1787]

Cha ajqbu msimamo unaonesha Arsenal kwa point 2 na kiporo juu

Haters matarajio yao ilikuwa kuumia kwa Jesus tugombee top 4 Cha ajabu Jesus anarudi timu bado ipo kileleni

Kifupi Haters wamefeli
Ebhana uyu jamaa arudi tu aisee

Kuna clip nlikua nacheki kipindi yupo aisee moto ulikua unawaka kwelikweli

Nketiah amefanya kwa nafasi yake ila G Jesus ni level nyingine yule mwamba
 
Ukiiangalia juve na ukaangalia shombo za locatell na vilahovic wakati walipoikataa arsenal na nafasi yao ndani ya team na ulaya kwa ujumla kuna kitu unaona ambacho hawa jamaa wanapokuwa kwenye prime time hawakioni.
Mawakala wanachangia mno kuua carrier za wachezaji wao hasa mawakala A-list na mawakala wanaotoka kwenye mazingira magumu financially.
To them a player is just a product(fact) which they don't consider who takes it and how will the product be fashioned now and then.
Nafikiri kama kuna kitu wachezaji wanapaswa kukiangalia kwa umakini ni aina ya mawakala wanaowasimamia.wanawauza.

Kushine kwa mchezaji katka klabu fulani binafsi huwa naamini kunachangiwa na vitu vingi sana ila few to mention ni
-kuaminiwa na klabu yake
-kuaminiwa na wachezaji wenzake
-aina ya wachezaji anaocheza nao na kile wanaofa kwake hadi kung'aa
-kocha na technical stuffs
-tactical setting ambazo zinamfanya kung'aa
-tabia ya mashabiki wa klabu aliyopo/anayochezea
-vission na mission ya mchezaji na namba inavyoshabihiana na vission na mission ya klabu
-role ya wakala.

Hazard ni another case study
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom