Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20230219_172714_All%20Goals.jpg
 
Nadhani lile goli lilimkosesha usingizi jana
Nasikia jamaa amekuwa mhuni siku hizi. Mpoteza muda na mkorofi mpaka kapewa kadi. Na ni kama amekuwa na chuki juu yetu. Like goli linachukuliwa kama poetic justice Kwa uhuni wake tena dk za mwisho
 
Mnapenda ushindani nasi wakati sisi hatushindani na nyie.

Ushindani wetu ni dhidi ya City. Nyie hamna jipya. Tushawagonga. Tuna deni na City tu.

Kwahiyo punguzeni matarajio.
Mnataka ubingwa na Man u inataka ubingwa na hapo ndio ushindani ulipo na kama unaamini Man city ndio mshindani pekee kisa mnaizidi Man u points 5+3 kwa epl hizo ni points chache sana .
 
Epl 5+3 ni chache??? Hahaha aiseee ivi unaijua EPL vizuri kaka
 
Basi wewe ndio huijui epl. Msimu uliopita kuna kipindi Man city alikuwa amemzidi liverpool points 14 ila ubingwa ulipatikana mpaka mechi ya mwisho kwa tofauti ya point 1.

Pia kwa hapo zamani kidogo gape hilo hilo la points 8 kuna timu iliwahi kukosa ubingwa au ilibaki kidogo ikose kama sikosei ni kati ya man u na man city. Punguzeni matarajio pia na kumuona man city ndio mpinzani pekee.
 
Kwenye point yako ya kwanza, umesema bingwa alipatikana kwa tofauti ya pointi moja, sasa 5-3 zitakuaje chache sasa.
 
Basi wewe ndio huijui epl. Msimu uliopita kuna kipindi Man city alikuwa amemzidi liverpool points 14 ila ubingwa ulipatikana mpaka mechi ya mwisho kwa tofauti ya point 1.

Pia kwa hapo zamani kidogo gape hilo hilo la points 8 kuna timu iliwahi kukosa ubingwa au ilibaki kidogo ikose kama sikosei ni kati ya man u na man city. Punguzeni matarajio pia na kumuona man city ndio mpinzani pekee.
United wapo kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa mimi na amini hili pia."Arsenal fan" points hapo ni tano tu hizo tatu hazihesabiki kwa sasa kwakua hatujacheza.kimahesabu huwezi kuiondoa united kwenye kushindania ubingwa,tumeona mechi tatu tu ambazo arsenal ameteleza zimeongeza title contenders.
 
Everton Vs Arsenal
Fulham Vs Arsenal
Westham Vs Arsenal
Newcastle Vs Arsenal
Arsenal Vs Brighton

Kuna hizo hapo nyingine sio rahisi kama unavyofikiria, mechi 4 ugenini halafu moja Emirate.

Ligi bado ngumu hii, kuna surprises za kutosha, mechi unayoichukulia simple ndio utayopoteza points3 bila kutegemea, chamsingi ni kukaza makalio tu ukilegeza kidogo tu unakuta ukuni ushaingia.
View attachment 2522739
We jamaa acha mambo za ushoga bc

20230220_131335.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom