Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ramsey kuna kipindi alikuwa anhezeshwa kiongo katika game ambazo Cesc alikuwa anamiss,na alionekana kucheza vizuri tu,akipewa anafasi anaweza kuziba pengo la Cesc.....

Kingine ni kwamba Wenger naye anatakiwa aondolewe Arsenal,tupate meneja mpya ambaye atatuletea makombe badala ya huyu anayetaka kuwala chenga wenzie...Wenger aondolewe sasa,akiendelea kuwepo hadithi zitakuwa zilezile za kujenga timu kwanza(for 6 years?)

hivi mkuu kwanini wenger alimuuza kolo toure...??!!!
 
Wakuu mbona leo sisikii mkisema WENGER aondolewe??hahaha kumbe mkishinda mnakuwaga wapole kabisa au sio??haya bana ila inabidi muwe na msimamo.....
Ukweli ni kwamba Arsenal tunatakiw kujivua gamba mkuu wangu,na gamba litavuliwa kwa kumuondoa Meneja Arsene Wenger na wachezaji wazembe kama Chamakh,Diaby,Arshavin,Rosicky,Almunia,Fabianski,Denilson,Squilaci,Koscienly,
Bendtner na wajinga wajinga wengine,otherwise hadithi zitakuwa zilezile za kulialia na kufurahia/kushangilia kuwafunga Man Utd ama Chelsea(as if tumechukua taji) badala ya kufurahia/kushangilia ubingwa kama wanavyofanya wenzetu Man Utd ama Chelsea
 
Nina mshakaji wangu Marehemu kwa sasa alikuwa ni shabiki die hard wa gooners i know huko alipo anasmile saa hizi >>

Ushindi wa leo ni kwajili yako hommie .... miss you loads, btw . How are you in the heaven Mfuasi?!! am sure wenger atasikia kilio chetu kufanya mabadiliko

cheers to all gonners am SIGNING OFF
 
Manda waambie Arsenal haupati kikombe kwa kuifunga Man Utd, Ila I can see why Arsenal are happy maana mara ya mwisho kutufunga ilikuwa 2008 sijui.

Haya watani tukutane tena baadaye wakati wa MOTD 2.

Wakuu mlisema mnakuja kuchukua kombe Emirates chacha yamekua haya? Duh! Amakweli bahasha zinaongea chacha. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hivi mkuu kwanini wenger alimuuza kolo toure...??!!!

Hata mimi huwa nashangaa mkuu,unamuuza ngangari Kolo Toure unamnunua legelege Squilaci ama Koscienly,kisa wafaransa....I wish Kolo angekuwa anacheza na Vermaellen,tungekuwa na ukuta mzuri sana...
 
Comment ya kwanza kuhusiana na Wenger aondolewe Arsenal, maana kwingine kote nilikopitia kila mtu amesahau machungu yote ya msimu huu.

Binafsi nimesahau machungu kwa mbaaaaali(kidogo)....Kwa upuuzi alioufanya mwaka huu na miaka mingine mitano,imefikia kipindi tuseme INATOSHA sasa,AW has to GO..........Aondoke,otherwise tutaendelea kulalamika na kulia humu huku watani zetu akina Manda,Eqlypz,BJ na Mfarisayo na jirani zetu Peasant,Rev Masa na wengineo wakichekelea na kukenua meno kwa kubadilishana ubingwa mwaka baada ya mwaka
 
Hata mimi huwa nashangaa mkuu,unamuuza ngangari Kolo Toure unamnunua legelege Squilaci ama Koscienly,kisa wafaransa....I wish Kolo angekuwa anacheza na Vermaellen,tungekuwa na ukuta mzuri sana...

Jamaa ubaguzi wake ndio ulimfanya amuuze Kolo Toure kisa Gallas alimwambia kwamba hawezi kucheza na Kolo tena na ni either Kolo aondoke au yeye Gallas aondoke.

Wenger akaamua kumuuza Kolo wakati Kolo alikuwa na mapenzi na timu kuliko Gallas sema ndio mambo ya french connection.
 
Arsenal-v-Manchester-United-Aaron-Ramsey-cele_2591730.jpg
 
Hongereni ,naona mmesahau matatizo ya Mzee Wenger leo.Tutaonana next week
 
Hongereni ,naona mmesahau matatizo ya Mzee Wenger leo.Tutaonana next week

Wenger hana matatizo hakuna timu iliyopo kwenye EPL na CL ambayo hawataki awe manager wao Wacha unoko wewe. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wenger hana matatizo hakuna timu iliyopo kwenye EPL na CL ambayo hawataki awe manager wao Wacha unoko wewe. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Imetosha mkuu.....unajaza thread na crap sasa teh teh teh teh teh.....ninafuraha pia next week tunawachapa basi......
 
Imetosha mkuu.....unajaza thread na crap sasa teh teh teh teh teh.....ninafuraha pia next week tunawachapa basi......

Naona gego la mwisho limekutoka mshindwe wenyewe chichi tunachonga mbele .... .. nasikia jana mlifanya kufuru kumwaga mpunga? Hata peasant alishehereka. Chacha njomba EPL imefika patamu ngoma inogile mwaya ... ... khe khe kheeeeeee the domino effect is now on ... ..

Okey okey! Get a cup of coffee relax....don't post anything for the next 24 hrs........!
 
Dogo golini leo safi sana tulia hivyo hivyo hamna presha.

dakika nne hizo arsenal we can do it.
Ningemshauri Wenger kutokununua kipa mwingine huyu dogo anafaa sana ila anatakiwa aongezewe madefender wazuri wa kumsupport,Dogo hababaiki golini.Kwa jinsi alivyo imara golini ni kama Joe Hart wa Man city.Au mkuu unaonaje?
 
Chizi wewe! Teh teh teh kula raha ushindi una raha nevertheless nawakumbuka Bolton!

Mkuu kutokana na source za uhakika Abraham O Vic alitoa mpunga siku ile na Loserfools wakapewa penalty kinyemela na siku ya Bolton, mnafahamu tunacheza soka na hakuna kimburu yoyote anayeweza kushindana na damu mpya mmekalia majungu na Wivu ingawa leo mnafikiri Chelsick mtaukwaa ubingwa, kwa mpunga Yes sio kwa soka. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom