Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Ningemshauri Wenger kutokununua kipa mwingine huyu dogo anafaa sana ila anatakiwa aongezewe madefender wazuri wa kumsupport,Dogo hababaiki golini.Kwa jinsi alivyo imara golini ni kama Joe Hart wa Man city.Au mkuu unaonaje?
Huyo dogo naye hatabiriki mkuu,ni kama Fabianski tu...Hajakomaa huyu....Tunahitaji golikipa aliyekomaa wa aina ya Edwin Van De Sar....Hapa chaguo langu ni Gianluigi Buffon ama Pepe Reina