Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Imagine next week Torres afunge goli la ushindi, I will go crazy kudadeki... Ila to be honest I am having a sense of Deja Vu.

Hahahahaha lol! Torres hawezi kufunga bila dimbwi la maji 🙂 au magoli yake ya kuvizia. Nitafurahi sana kama Torres akiwa kwenye benchi na kule mbele wakaanza akina Drogba, Anelka, Malouda/Kalou itakuwa kazi nzito sana kwa ngome ya MANU.
 
Samahani Mkuu ni magoli ya kufungwa MANU wamefungwa 32 na Chelsea wamefungwa 28, hivyo kama Chelsea watashinda kwa idadi yoyote ile ya magoli Jumapili ijayo watachukua usukani wa EPL.

Mkuu kama wakiwa point sawa basi hapo wanaangalia timu yenye magoli mengi ya kufunga....
 
Pamoja na Arsenal kushinda, still Wenger anatakiwa atimuliwe! Tunahitaji mabadiliko!
 
AW punguza yengele bana...

BBK na Michelle nendeni mkalale na nyie...
Wacha1 ukirud frm Emiratani PM...achana na stor za bahasha, naona leo na nyie mmetoa....

Mi Arsenal mna keleleeeeee! agrrrrrrrrrr!

All in all Hongereni sanaa...leo kipofu kaona mwezi...pamoja sana....apa nawaza kwata kuingia hm..familia yte Arsenal damdam...

Ha ha ha mkuu leo umekua mdogooo lol. safi sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Manda waambie Arsenal haupati kikombe kwa kuifunga Man Utd, Ila I can see why Arsenal are happy maana mara ya mwisho kutufunga ilikuwa 2008 sijui.

Haya watani tukutane tena baadaye wakati wa MOTD 2.
 
Wakuu mbona leo sisikii mkisema WENGER aondolewe??hahaha kumbe mkishinda mnakuwaga wapole kabisa au sio??haya bana ila inabidi muwe na msimamo.....
 
kumbe we can play bila ya cesc febragas uwanjani.. na tukashinda... >> wenger afanye faster kauze kale katoto.. atafute mid. F wa maana aliyeshiba
 
kumbe we can play bila ya cesc febragas uwanjani.. na tukashinda... >> wenger afanye faster kauze kale katoto.. atafute mid. F wa maana aliyeshiba

Wenger yuko allergic na wachezaji walio shiba na wanaopenda kutumia nguvu kuleta ushindi. Wachezaji wake yeye wote laini laini tu lol.

Pale kati Wilshere na Song wanasaidia sana manake wanajua kutumia nguvu na akili.
 
kumbe we can play bila ya cesc febragas uwanjani.. na tukashinda... >> wenger afanye faster kauze kale katoto.. atafute mid. F wa maana aliyeshiba

Ramsey kuna kipindi alikuwa anhezeshwa kiungo katika game ambazo Cesc alikuwa anamiss,na alionekana kucheza vizuri tu,akipewa anafasi anaweza kuziba pengo la Cesc.....

Kingine ni kwamba Wenger naye anatakiwa aondolewe Arsenal,tupate meneja mpya ambaye atatuletea makombe badala ya huyu anayetaka kuwala chenga wenzie...Wenger aondolewe sasa,akiendelea kuwepo hadithi zitakuwa zilezile za kujenga timu kwanza(for 6 years?)
 
mi tangu tufungwe curling cup sikuwa na hamu na asrsenal...etlist leo naweza kupa appetite na msosi ...lol
 
man u hatushikiki ina maana leo wamepakatwa baada ya kugoma kushikwa...
 
Ramsey kuna kipindi alikuwa anhezeshwa kiongo katika game ambazo Cesc alikuwa anamiss,na alionekana kucheza vizuri tu,akipewa anafasi anaweza kuziba pengo la Cesc.....

Kingine ni kwamba Wenger naye anatakiwa aondolewe Arsenal,tupate meneja mpya ambaye atatuletea makombe badala ya huyu anayetaka kuwala chenga wenzie...Wenger aondolewe sasa,akiendelea kuwepo hadithi zitakuwa zilezile za kujenga timu kwanza(for 6 years?)
Comment ya kwanza kuhusiana na Wenger aondolewe Arsenal, maana kwingine kote nilikopitia kila mtu amesahau machungu yote ya msimu huu.
 
Back
Top Bottom