Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
mmebahatisha na kubebwa kwenu...
Ila aaaaa.....hongereni bana...mmetuongeza machungu ya kumtafuna Chelski jumapili...
Soka sucks stms...
Ulianza kwa kelele nyingiii, leo watu wako wapi umu blah blah.... kiko wapi sasa?
Nilikwambia tutaenda dakika kwa dakika naona ukakimbie . Ndio mpira huo msubiri Schalke ujifariji.