Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Comon arsenal we can make it. naona clichy kacheza rafu refa kalipa fadhila kutokana na penati aliotunyima kwa Vidic.



uzembe umeanza nyuma wa kuwapa man united goli.
 
refa naona anasawazisha pen decision apa...kudadadeki ref.
 
Good goal

Arses now you need to start believing that you can do without fabregas!!

Mtoto kafanya kweli

Huyo dogo mimi namkubali ile mbaya kaka,ni mzuri sana aisee.....Hata Cesc akiondoka dogo ataweza kuziba pengo lake ipasavyo....

Hongera kwa ushindi wa leo,naona Kenny anafanya kile ambacho Rafa na Roy walishindwa,Thank God you found Kenny....Hahaaaaaaaaaa
 
Tulia Michelle nna hasira...wifi yako asshole..kwaio leo ndan hakukaliki...
 
Hoorayyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂
 
😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:



mandaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hupoooooooooooooooooooooooooooooooooooo na wenzakoooooooooooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom