Wewe mpira ujui sisi tumesajili kutokana na uhitaji wetu kwenye hiyo nafasi kwa kuangalia je anasifa zakufit hiyo nafasi? Ndio maana tukaona mtu pekee anayetufaa ni Enzo.Tangu aondoke Lampard pale chelsea hatujawahi kupata kiungo mkabaji mwenye uwezo wakupiga long passes na Enzo ana hii sifa yupo vizuri Sana, sifa ya pili ya Enzo anajua kudominate game kupiga pass fupi fupi na ndefu za break up back line ya opponent, ana jua kufunga, press resistance mzuri, ana technical ability nzuri pia ana kasi, ana uwezo wa kukaba kwa eneo kubwa la Uwanja mwisho kabisa ni mpambanaji.
Kiufupi ana baadhi ya sifa ambazo viungo tulionao hawana Enzo ni midfielder ambaye yupo full package ndio maana tumetumia nguvu kubwa kumsajili na hiyo nguvu hatukuitumia kwa jao Caicedo kwasababu ubora wake upo kwenye kukaba Sana pekee lakini hana technical ability ya kudominate mechi na sio mzuri sana kwenye passes.
Aaron Arsenal
Castr
Will Jr
HENRY14