Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,395
- 6,553
Smith rowe anaendeleaje?
Anarudia kidogo kidogo alikuwa na injury ya muda mrefu sana.Wazee huyu ESR ana shida gani tena? Tutarajie kumuona dimbani hivi karibuni au ndio imeisha ivyo?
Taarifa inasema kesho hatakuwepo hata benchi, Partey pia ni 50/50Anarudia kidogo kidogo alikuwa na injury ya muda mrefu sana.
Mikel Arteta PL Manager of the monthLoh majanga tena?....Taarifa inasema kesho hatakuwepo hata benchi, Partey pia ni 50/50
Partey alikuepo kwenye mazoezi jana, ila uyu ESR naona bado hajapata fitnessLoh majanga tena?....
Nimesoma sehemu kuwa ana maumivu kidogo ya paja, naona wameamua kutorisk.Partey alikuepo kwenye mazoezi jana, ila uyu ESR naona bado hajapata fitness
ESR ndio naniPartey alikuepo kwenye mazoezi jana, ila uyu ESR naona bado hajapata fitness
Emile Smith Rowe( ESR)ESR ndio nani
Sawa ila Pep Kipara ni jitu baguzi la rangi nyeusi toka Africa la kazi gani nijipendekeze kwake kulikubali?Furgerson alishawahi beba Hilo kombe Mara tatu mfululizo kwa hiyo sio Jambo geni mkuu
Cancelo angekuwa anarangi nyeusi sipati picha nyie mbwa mngeoongea nin....Sawa ila Pep Kipara ni jitu baguzi la rangi nyeusi toka Africa la kazi gani nijipendekeze kwake kulikubali?
Aende Ufaransa akamalizie soka lakeAuba kama aubaView attachment 2505138
Jorginho is Mikel Arteta's dream.Jamaa alikuepo kwenye mazoezi View attachment 2505261