Ninavyomjua Arteta atafanya sub dakika ya 80 huko badala ya kufanya sub mapema.
Endelea kuotaDakika ya 58 kuna movement ameifanya Edie akampa pass Odegard, sasa Yale ndio Mambo ambayo anafanya Jesus katika dakika 90
Kuota nini tena Mkuu? Hivi huwa unasoma ata kilichoandikwa kweliEndelea kuota