Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa haraka haraka defensively ni poor.
Moyo wake haupo pale bro, kila mtu anajua ilo
20230204_063732.jpg
 
This Chelsea side walianza kama vile they know what they are doing.

Fulham were so confident with the match mpaka Chelsea akaogopa nilikua sahihi kusema Mudryk siyo finisher lakini pia ana weakness zingine ambazo asipojirekebisha atakua kichekesho EPL as timu nyingi EPL zinacheza kiFulham.
 
Nilichofurahi zaidi ni Arteta kununua wachezaji ndani ya EPL, they don't need time to adjust, we've got no time for adjustments especially in January. Naamini Trossard na Joginho will shine, we need them to deliver now.
 
Moyo wake haupo pale bro, kila mtu anajua ilo View attachment 2505463
"It's like you buy a Ferrari expecting to enjoy comfortability and high performance of the car, but you forget to consider the roughness of the road you will drive on."

Kwa kuitazama mechi ya jana sidhani kama Potter ana idea yeyote ya jinsi ya kumtumia Mudryk au alikuwa anajua atamtumia vipi huyu player kwenye mfumo wake.
 
Huyu wachezaji ameletewa tu na hajui afanye nini ili wampe matokeo
 
Nasikia chelsea wamevutwa huko

wahuni wamekwapua simu yangu wakitumia bodaboda, hivi Kama Nina IMEI no. Naweza kutract nikaipata?

Nimetumia email inanionesha sehemu ya mwisho ilipozimiwa nikwenye kituo Cha bodaboda
Kama aliyeiba hajui of coz unaweza ipata ila itabidi uwape hongo askari, hawako vizuri kwenye kutimiza majukumu.
 
"It's like you buy a Ferrari expecting to enjoy comfortability and high performance of the car, but you forget to consider the roughness of the road you will drive on."

Kwa kuitazama mechi ya jana sidhani kama Potter ana idea yeyote ya jinsi ya kumtumia Mudryk au alikuwa anajua atamtumia vipi huyu player kwenye mfumo wake.
Shida ya Chelsea ni striker, game ya jana imezidi kuconfirm.

Havertz, Mount, Nkunku, Sterling, Mudryk, Ziyech hawa wote ni wazuri kuwatengenezea ST nafasi. Sasa Chelsea St wao ni Havertz nafikiri mpaka wacheze free role ndiyo matunda yatakuja kwa sasa
 
This Chelsea side walianza kama vile they know what they are doing.

Fulham were so confident with the match mpaka Chelsea akaogopa nilikua sahihi kusema Mudryk siyo finisher lakini pia ana weakness zingine ambazo asipojirekebisha atakua kichekesho EPL as timu nyingi EPL zinacheza kiFulham.
Nadhan kwa game ya jana siwez mlaum mudryk, coz ule upande wake nikama ulitelekezwa yani mpira mara nyingi ukawa uko kwa ziyech+james.
 
Nasikia chelsea wamevutwa huko

wahuni wamekwapua simu yangu wakitumia bodaboda, hivi Kama Nina IMEI no. Naweza kutract nikaipata?

Nimetumia email inanionesha sehemu ya mwisho ilipozimiwa nikwenye kituo Cha bodaboda
Kama wahuni hawajabadili imei namba unaipata, nenda polisi, watakupa michakato yote.

Taja simu, makorokoro mengine na pesa... Ili pesa ukiipata ulipie gharama za mafuta ya askari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom