Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,721
Mkataba wake unaisha 2025 , hawez kukubali Tena mikopo na ngumu kwa Arteta kumuhakikishia namba mbele ya Jesus, nketiah na TrossardLa kumuuza naliona si jema, atatufaa hapo mbeleni, akae to loan hata 2 seasons. Saliba case.
Huyu tukitulia hatukosi €50m
Mwaka Jana Hugo eketike alifunga goli 10 ligi hiyo hiyo, akauzwa PSG kwa €35m na vilabu vingi vilimtaka
Believe me huyo dogo angekuwa hatokei Arsenal, timu zingeshaanza kupigana vikumbo kumtaka kwa madau makubwa .

