Kaka na wewe ulikua upande wa Arteta out?Arteta kapiga manager of the month tena. Sisi #artetaout tumefurahishwa sana na habari hii
Kaka na wewe ulikua upande wa Arteta out?
Haka ka martineli kanatakiwa kampishe Trossard naona siku hizi anakosa maarifa yakutosha
Jamaa wamekuja na mkakati hatari sana kukaba mwanzo mwisho na kushambulia kwa kushtukiza kwa kuvamia inabidi tuwe makini sana kwakua lazima watatuacha tucheze na highline defending .Nice stuff so far
We dada bado upoMNA UHAKIKA MTAMALIZA TOP FOUR NYIE VIBWENGO.
Coach afanye maamuzi ya kumtoa martinnel na ben white aingie tomiyasu kumsaidia saka kuongeza ubunifu upande wa kulia na trossard ni mzuri kwenye touch za kufungua timu inayocheza kwa kupaki bus muda mwingi pia xhaka game imemshinda...super sub ndio mkombozi wetu kwa mech ya leoHopes Trossard will manage LW better than the Brazilian
Ninavyomjua Arteta atafanya sub dakika ya 80 huko badala ya kufanya sub mapema.Coach afanye maamuzi ya kumtoa martinnel na ben white aingie tomiyasu kumsaidia saka kuongeza ubunifu upande wa kulia na trossard ni mzuri kwenye touch za kufungua timu inayocheza kwa kupaki bus muda mwingi pia xhaka game imemshinda...super sub ndio mkombozi wetu kwa mech ya leo