Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Yah Epl akikichafua ,thamani yake itapanda sanaSikua namjua huyu Danilo before,,,, kaja EPL ataonekana,,,, pengine ana kitu mguuni !
Yah Epl akikichafua ,thamani yake itapanda sanaSikua namjua huyu Danilo before,,,, kaja EPL ataonekana,,,, pengine ana kitu mguuni !
Chelsea wakiwa na interest nae huyu km kweli wanamtaka wanamchukua. Na offer yao ikawa nzuri kwa west hamwest ham sio wahuni kama wale Jamaa wa Ukrain
Maabari ya mudryk nishayachoka hata huko Twitter sitaki kuyaona. Alafu Fabrizio anajitahidi kuwatuliza mashabiki wa Arsenal make walimtukana sana ndio maana anajaribu kuleta na habari za tetesi kuhusu ArsenalShakhtar chief executive Sergei Palkin has told The Athletic that Chelsea MATCHED Arsenal's offer for Mykhailo Mudryk, but just offered better structure in payments.
Arsenal's final offer was €70M plus €30M in add-ons but Shakhtar did not believe they were achievable, as per Sergei Palkin.
Chelsea offered the same and the Ukrainian side liked the structure and clauses more.
Dirisha kubwa tulitumia pesa mingi aiseee kuja kushtuka dirisha dogo tumejikuta mfukoni tumebaki na eftatuETG kuna kitu anakileta Utd, ile ya zamani si mishahara mikubwa. Suala la discipline ETG ana falsafa kama za Pep & Arteta. Discipline ikiwepo mafanikio yanakuja mbona mlijitoa kwenye deal la Joao Felix wakati huwa mnamwaga noti?


Tena wakumbushe ukiachana na MR10 pamoja na The Ghost (Wout Weghorst) kuna fundi huyu hapa mtaalamu wa kuvunja kufuli anawasubiria kwa hamu sana.NAWAKUMBUSHA
man United pass 3 goal, Sisi hizo pass tunawaachia nyie lkn magoal ni yetu
Pass inaanzia kwa casemiro via bruno to rashford goal...NASHUKURU
Ruka ruka maana ndiyo kuiva kwako maharagwe ya Mbeya weweI don't need your excuses, endelea kulia na magazeti yako, "ooh tuna majeruhi" timu gani haina majeruhi?

Fundi wa nini labda?Tena wakumbushe ukiachana na MR10 pamoja na The Ghost (Wout Weghorst) kuna fundi huyu hapa mtaalamu wa kuvunja kufuli anawasubiria kwa hamu sana. View attachment 2484733






Huyu Hana maajabu kazi kuzunguka tu na mpira eti sijui ndo 360' spinning na kupoteza muda.Tena wakumbushe ukiachana na MR10 pamoja na The Ghost (Wout Weghorst) kuna fundi huyu hapa mtaalamu wa kuvunja kufuli anawasubiria kwa hamu sana. View attachment 2484733
Fundi wa nini labda?![]()


Muangalie hapo Ramsdale alivyopigishwa doggy style huku akisikilizia utamu wa chuma inavyozama taratibu ndio utajua huyu mwamba ni fundi kwelikweli. Hizo ni nongwa zako tu, ila sisi mashabiki wa Man Utd tunajivunia mchango wa Anthony kwenye mafanikio ya timu yetu.Huyu Hana maajabu kazi kuzunguka tu na mpira eti sijui ndo 360' spinning na kupoteza muda.
Najua huko mliko mnajutia pesa yenu nyingi mliyotumia kumnunua huyu boko![]()
Kwa hiyo tangu mumununue amewapa mafanikio gani haswa?Hizo ni nongwa zako tu, ila sisi mashabiki wa Man Utd tunajivunia mchango wa Anthony kwenye mafanikio ya timu yetu. View attachment 2484861
Kwani Ni mchezaji gani ambaye angeshindwa kufunga akiwa Kwenye nafasi Kama ile?Muangalie hapo Ramsdale alivyopigishwa doggy style huku akisikilizia utamu wa chuma inavyozama taratibu ndio utajua huyu mwamba ni fundi kwelikweli. View attachment 2484846
Kumbe kuna wakati akili huwa zinarudi hata mm huwa napitia page ya george ambagile nasema kweli Tanzania vichwa maji tupo wengi ...hivi mtu anachambua wali au mchele kbl haujapikwa na muda unapikwa??iweje mtu aelezee yaliyotokea uwanjani alafu tuseme amechambua ni mchambuzi mzur kwann asiwe anafanya analysis kbl ya hizi game ili atupe prove ya kile anachokifanya ???Ukitaka kujua kama bongo hakuna wachambuzi basi wazungumzie game ambayo inaenda kuchezwa, au timu imesajili, inajiandaa kwenye ligi.. Ndio utajua hatuna wachambuzi wa mpira bali wachambua mchele.
Game ikishachezwa, utasikia, transition, sijui low block, triangles.. Hapo wanazungumzia kilichotokea tena kwa ubabaishaji ubabaishaji tu.
Kiasi ambacho hata sisi tukipata nafasi tunaweza kuwa wachambuzi wazuri.
Hata wenger alihojiwa na ian wright kwenye sport bibble ipo youtube ukipata muda icheki anaeleza usajili muhimu kwenye kikosi cha invincible ni GILBERTO SILVA..na alijibu bila kupepesa mdomodeclan rice ni mchezaji mzuri.. namkubali na anafundishika.. pia akipata makocha wazuri
zaidi anaweza kuwa the best.
tupende na tuwe na mazoea ya kutizama mechi nyingi na za timu tofauti tofauti na si mpk arsenal acheze na timu flani tu.. tusiwe watu wa highlights kwa sana ama ku tegmea sna izi football statistics katka kuwa judge wachezaji.
wenzetu wana scouting teams.. znatumia gharama kubwa ;watu wanaenda vwanjani na wana safiri umbali mrefu tu kutizama wachezaji kbsa na si kutgmea sna statistics.
arsenal ya invicibles ilikuwa na kiungo anaitwa gilberto silva.. uyu jmaa kama ingekuwa ni too much statistics kama dunia yetu ya sasa ya kimpira ilivo asingepata timu ata moja kubwa kuichezea.. kongole sna kwa mze wenger..
alikuwa na jicho la kimpira na aliona kitu kwa gilberto silva.
Amka utakuja ujambe kwenye shuka na niasubuhi tayariMsiposajili dirisha hili kwa hicho kikosi finyu mlichonacho hata hio top4 kuingia itakua ni bahati nasibu.

