999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 875
- 1,629
Sasa mechi haijachezwa unataka uchambuliewe Nini, Ambangile watu wanampenda kwasababu anawachambulia mbinu zilizotumika kwenye mechi husika, kwasababu asilimia kubwa tunaangalia kimazoea tu.Kumbe kuna wakati akili huwa zinarudi hata mm huwa napitia page ya george ambagile nasema kweli Tanzania vichwa maji tupo wengi ...hivi mtu anachambua wali au mchele kbl haujapikwa na muda unapikwa??iweje mtu aelezee yaliyotokea uwanjani alafu tuseme amechambua ni mchambuzi mzur kwann asiwe anafanya analysis kbl ya hizi game ili atupe prove ya kile anachokifanya ???
Basi na sky sports watoe mascreen yale kwenye vyumba vyao vya habari, na kusiwe na uchambuzi baada ya half time, tuwe tunawasikiliza kabla ya mechi tu


