Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,564
- 19,771
Sisi tumekuwa tukishinda mechi zetu bills huyo Mudryk na tutaendelea kushinda bila yeye.Nyie kubalini kawatosa, acheni mambo meeengi, mlijiaminisha wenyewe kw wenyewe humu kua eti mchezaji anaipenda Arse888 tangu lini mchezaji akaipenda timu isiokua na mafanikio.
Huyo mudryk kw uspesho gani aliokua nao mpk nchi ihusike. eti wapewe donation kisa mudryk!! Amekua messi. Muachage kudanganyana nyie misukule ya Arteta.
Ndio hivyo hivyo mlidanganyana humu mudryk anaipenda Arse888.
Hivi Sasa tunajiandaa kuchukua points zingine 3 kutoka kwa Manyumbu siku ya Jumapili.