verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,153
- 6,262
Kaka, sisi tunadili na mechi zetu tu hao wengine watajuana wenyewe huko mabonde kuinama [emoji23]Nakubaliana na wewe kwa role anayocheza Zinchenko yupo bora bora bora but weakness yake ni hyo uliyomention but unajua why season hii tupo bora?kwa 11 eleven yetu hakuna eneo lenye upungufu abadani hakuna that's why hata makosa yake hayaonekani na Spurs second half walikuja na mashambulizi upande wake karibia muda wote but wakakuta tumejipanga mpaka kwa Ramsdale boy
Next game Thursday nipo SPURS SPURS hata draw inawatosha COME ON SPURS nipigie Guardiola