Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Richarlison apologises to Gabriel Martinelli after refusing to shake his hand, but hits out at 'disrespectful' Aaron Ramsdale
Uyu muhuni ana hasira sana


Odegaard anajua, anapiga mpira mkubwa mno. Arteta ana uwezo mzuri wa kudevelop wachezaji na pia jicho la kuona wachezaji wanaofit kwenye mfumo wake, Mi naamini Mudryk, Martinez, Vlahovic wangefika mbali zaidi chini ya Mikel Arteta.Unamkubali sana huyu jamaa
Binafsi naona anahitaji kusukwa zaidi,
Rejea partey aliyefika Arsenal na huyu wa sasa
Au Ode aliyekuja loan na huyu wasasa
YES! Alicheza vizuri sana kwenye mechi ya Arsenal sema tu alielemewa.
Huu ndiyo ule utani sasaDECLAN RICE NDIYE MRITHI WA PARTEY , ILA HADI SUMMER ,MAZUNGUMZO YAMESHAANZA ,
Midfielder is considered less of a priority in this January transfer window for Arsenal, but they are planning a summer move for Declan Rice. [Athletic]
| @FabrizioRomano was on @ChampsHouseCBS and touched on #Arsenal’s vision and strategy in transfer market & more
#afc
| Gabriel Martinelli on IG: “New week, same focus
” #afc
#AFC
Sasa hivi wachezaji wanaangalia mafanikio(makombe) na mishahara minono, hayo mambo ya kufit kwenye mfumo halafu mwisho wa msimu mnaishia kua wasindikizaji tu bila ya kombe lolote hakuna mchezaji anataka zaidi ya Harry Kane peke yake.Odegaard anajua, anapiga mpira mkubwa mno. Arteta ana uwezo mzuri wa kudevelop wachezaji na pia jicho la kuona wachezaji wanaofit kwenye mfumo wake, Mi naamini Mudryk, Martinez, Vlahovic wangefika mbali zaidi chini ya Mikel Arteta.
Msiposajili dirisha hili kwa hicho kikosi finyu mlichonacho hata hio top4 kuingia itakua ni bahati nasibu.Aaah nacheka kwa dharau, Arsenal wafanye kweli, nipo tayari tusisajili this window ili tumpate Rice & Leao nxt summer.
Mkataba wa Rice unaisha mwaka 2024, ana option ya kuurefusha kwa mwaka mmoja, amesema anataka kushinda makombe, amegoma kuongeza mkataba mpya, huwezi kutaka £150m kwa mchezaji aliye mwishoni mwa mkataba wake, huyu atauzwa kwa £80-85m, Arsenal have the pull.Naona mjadala wa rice,,,
Huyu Ni muingereza, untouchable ! Ni mid nzuri lakini westaham wako na project nzuri sidhani Kama watamuachia, na ikitokea Ni over 100m, mko tayari ? Nadhan last summer Chelsea walimuulizia wakaambiwa 150m, na mchezaji Yuko willing kuchezea the blues timu yake ya utotoni akakutane na washkaji zake kina mount, James n k !
Angalia hata uwekezaji wa westham hapa karibuni unaonyesha Kuna kitu wanakitaka , japo on field hawajadeliver, moyes ana kazi ya ziada !
Angalia addition za kina scamacca, pacueta, last summer walimuhitaji pia lingard lakini ofa yao haikuwa nene Kama N.forest,,,