Naona mjadala wa rice,,,
Huyu Ni muingereza, untouchable ! Ni mid nzuri lakini westaham wako na project nzuri sidhani Kama watamuachia, na ikitokea Ni over 100m, mko tayari ? Nadhan last summer Chelsea walimuulizia wakaambiwa 150m, na mchezaji Yuko willing kuchezea the blues timu yake ya utotoni akakutane na washkaji zake kina mount, James n k !
Angalia hata uwekezaji wa westham hapa karibuni unaonyesha Kuna kitu wanakitaka , japo on field hawajadeliver, moyes ana kazi ya ziada !
Angalia addition za kina scamacca, pacueta, last summer walimuhitaji pia lingard lakini ofa yao haikuwa nene Kama N.forest,,,