Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Repost George Ambagile Tottenham v Arsenal

.Arsenal wanacheza kibingwa sana , wanakupa picha zote mbili pale wanapohitajika kufanya hivyo ... wakiamua kushambulia wanakuwa hatari , wakiamua kuzuia wanakuwa na shape nzuri sana ya uzuiaji ... they are so good

.Kipindi cha kwanza utasema Wanaume Vs Wavulana , jinsi Arsenal walivyowaonea Spurs . Arsenal walifanya vitu vingi kwa usahihi

1: Kushinda mpira wa kwanza hasa ya juu
2: Kushinda mpira wa pili
3: Passing
4: Kuweka presha kwenye mpira haraka sana pale wanapopoteza ( Counter pressing )
5: Shape yao ya uzuiaji pale waapokuwa na mpira ( rest defense )
6: Mpambano wa kimwili walikuwa wanawatoa njiani kirahisi sana Spurs
7: Kumiliki mchezo kwa utulivu ( Control )

.Wazuie Arsenal kwenye chanzo cha ujenzi wao wa mashambulizi ( stop them at source ) na hiko chanzo ni Zinchenko na Partey lakini sio rahisi sana bali inawezekana kama Spurs walivyofanya kipindi cha pili , ukiruhusu Arsenal watulie ( Settled possession ) na kufika phase ya tatu ya mchezo ( kwa Saka Odegaard Martinelli Nketiah na Xhaka ) utakuwa na kazi ngumu sana ya kuwazuia , they are dangerous

.Spurs kipindi cha pili walifanya kile ambacho hawakufanya kipindi cha kwanza :

1: Weka presha kwenye mpira
2: Pasia mpira vizuri
3: Shinda mpira wa pili
4: Runners kwenda mbele

Lakini shida kwao ni kwamba kila swali walilouliza kwa Arsenal lilipatiwa majibu sahihi

NOTE

1: Saka akiwa na mpira mguuni , kumpokonya kazi sana na leo movement zake ni kuomba mpira mbele ya Sessegnon na kuingia ndani

2: Odegaard " THE TECHNICIAN " huyu nimesema sana

3: Partey after Partey shilingi sita inayopora mpira na kupiga pasi mithili ya namba 10

4: Kilichomtuma Pep kuwauzia Arsenal Zinchenko atajuta , yule Bro kama ana sumaku

5: Aaron Ramsdale top saves

6: Kwanini Conte alimuacha Bissouma kwenye benchi ?

7: ENDELEENI KUKARIRI , WENYEWE SHIDA YAO SIO UBINGWA BALI KUSHINDA MECHI INAYOFUATA TU HALAFU TUKUTANE MEI 2023

FT : Spurs 0-2 Arsenal
 
si mpo kwa Nodi mukiele ?

Nyie jamaa mnazingua Sasa,nasikia Kuna beki ipo Sporting ,Spurs anajiandaa kumbeba , mnataka ku hijack

Ila Toddy hizi hela anatoa wapi?

Pep miaka Saba katumia €1B

Toddy miez 6 €500m na anasema hapo Bado
Chelseq now iko free haina deni lolote,

Kingine wakat team inauzwq kiliwekwa kipengele cha 1.75B kwa ajili ya uboreshaj wa kikosi + stamford bridge redevolpment + Anti glazer
 
Ila rambo ramsdaye ana keraaaa
FB_IMG_1673849493640.jpg
 
Just remembered Man City went in for £40m Cucurella, only for Chelsea to highjack it for £62m. This shouldn’t be a surprise tbh. If Man City can get highjacked, on god so can Arsenal.

() The word from Arsenal is that the numbers for Mudryk were getting crazy and they weren’t prepared to get involved in a bidding war. They’ll only sign players if it makes sense financially and improves the squad.” (@David_Ornstein)
 
Hawa dawa yao ni kuwanyuka bakora nne wakija Emirates kupunguza hasira
unakumbuka hii ya 23 March 2014
Chamberlain alidaka mpira, naona hiyo ikijirudia 29 April 2023

Line up yetu itakuwa 4-2-3-1 - Majeruhi wote watakuwa fit na ninyi mnaijua Chelsea iliyotimia ilivyo haina huruma

--------------- Thuram---------------

Mudryk -------- Felix ----------- Sterling

--------Denis ------------ Kante-------

Chilwell --- Badiashile --- Silva --- James

---------------Kepa---------------

Duuhh

Kaka huko ulipo bado usiku nini? Huku bongo kumekucha amka usichafue mashuka ayo
 
Nketiah kakua sana, ana mpira wa kikubwa

Zile block mbili alizofanya kipa moja ingeingia basi nketiah angeweza kua man of the match

Work rate, Jesus kambadilisha sana nketiah
Kuna tetesi nimeziona kwenye page ya Fabrizio Romano, anadai baada ya kukamilika usajili wa Mudryck muda wowote kuanzia sasa Aaron Arsenal atahama Arsenal na kuanza kushabikia The Blues.
tapatalk_-208027739_480x640.jpg
 
Tony Adam anasema Partey ni combination ya watu wawili (Vieira & Petit) ndani ya mtu mmojaView attachment 2483051
Namhusudu saana partey.. Mie mchezaji akiwa mnyumbulifu ananivutia, kama anapiga, anafinya, anareceive mpira huku katizama adui anakujaje, akija kushoto, anaturn kulia, halafu anapiga pasi sumu.

Sijui ni kwakuwa wakati nacheza mpira ndio nilikuwa ni mpira ninaocheza.. Hata mchezaji akiwa wa hivyo naenjoy mnoo kucheza nae, mpinzani anakuja kukaba akiwa na akili timamu na tahadhari juu, chochote kinaweza kumkuta. 😂
 
Repost George Ambagile Tottenham v Arsenal

.Arsenal wanacheza kibingwa sana , wanakupa picha zote mbili pale wanapohitajika kufanya hivyo ... wakiamua kushambulia wanakuwa hatari , wakiamua kuzuia wanakuwa na shape nzuri sana ya uzuiaji ... they are so good

.Kipindi cha kwanza utasema Wanaume Vs Wavulana , jinsi Arsenal walivyowaonea Spurs . Arsenal walifanya vitu vingi kwa usahihi

1: Kushinda mpira wa kwanza hasa ya juu
2: Kushinda mpira wa pili
3: Passing
4: Kuweka presha kwenye mpira haraka sana pale wanapopoteza ( Counter pressing )
5: Shape yao ya uzuiaji pale waapokuwa na mpira ( rest defense )
6: Mpambano wa kimwili walikuwa wanawatoa njiani kirahisi sana Spurs
7: Kumiliki mchezo kwa utulivu ( Control )

.Wazuie Arsenal kwenye chanzo cha ujenzi wao wa mashambulizi ( stop them at source ) na hiko chanzo ni Zinchenko na Partey lakini sio rahisi sana bali inawezekana kama Spurs walivyofanya kipindi cha pili , ukiruhusu Arsenal watulie ( Settled possession ) na kufika phase ya tatu ya mchezo ( kwa Saka Odegaard Martinelli Nketiah na Xhaka ) utakuwa na kazi ngumu sana ya kuwazuia , they are dangerous

.Spurs kipindi cha pili walifanya kile ambacho hawakufanya kipindi cha kwanza :

1: Weka presha kwenye mpira
2: Pasia mpira vizuri
3: Shinda mpira wa pili
4: Runners kwenda mbele

Lakini shida kwao ni kwamba kila swali walilouliza kwa Arsenal lilipatiwa majibu sahihi

NOTE

1: Saka akiwa na mpira mguuni , kumpokonya kazi sana na leo movement zake ni kuomba mpira mbele ya Sessegnon na kuingia ndani

2: Odegaard " THE TECHNICIAN " huyu nimesema sana

3: Partey after Partey shilingi sita inayopora mpira na kupiga pasi mithili ya namba 10

4: Kilichomtuma Pep kuwauzia Arsenal Zinchenko atajuta , yule Bro kama ana sumaku

5: Aaron Ramsdale top saves

6: Kwanini Conte alimuacha Bissouma kwenye benchi ?

7: ENDELEENI KUKARIRI , WENYEWE SHIDA YAO SIO UBINGWA BALI KUSHINDA MECHI INAYOFUATA TU HALAFU TUKUTANE MEI 2023

FT : Spurs 0-2 Arsenal
Huyu jamaa nahisi kuna screenshot yake iliwahi tembea akiwakandia Arsenal msimu huo akatoa hoja laini kweli kweli.

Hawa ni watu wanasababisha sina hamu na mpira wa Tz
 
unakumbuka hii ya 23 March 2014
Chamberlain alidaka mpira, naona hiyo ikijirudia 29 April 2023

Line up yetu itakuwa 4-2-3-1 - Majeruhi wote watakuwa fit na ninyi mnaijua Chelsea iliyotimia ilivyo haina huruma

--------------- Thuram---------------

Mudryk -------- Felix ----------- Sterling

--------Denis ------------ Kante-------

Chilwell --- Badiashile --- Silva --- James

---------------Kepa---------------

Chelsea ya Tuchel imefungwa na Arsenal, ya Lampard same, ya kabla ya Lampard.

Wakati mwingine unaangalia kitu mtu kaandika unashangaa hivi ana kumbukumbu au akilog out JF na memory inakata
 
Huyu jamaa nahisi kuna screenshot yake iliwahi tembea akiwakandia Arsenal msimu huo akatoa hoja laini kweli kweli.

Hawa ni watu wanasababisha sina hamu na mpira wa Tz
Ukitaka kujua kama bongo hakuna wachambuzi basi wazungumzie game ambayo inaenda kuchezwa, au timu imesajili, inajiandaa kwenye ligi.. Ndio utajua hatuna wachambuzi wa mpira bali wachambua mchele.
Game ikishachezwa, utasikia, transition, sijui low block, triangles.. Hapo wanazungumzia kilichotokea tena kwa ubabaishaji ubabaishaji tu.
Kiasi ambacho hata sisi tukipata nafasi tunaweza kuwa wachambuzi wazuri.
 
Back
Top Bottom