Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Sasa unamhadaa adui gani wakati wachezaji wote hao wawili kuna timu zaidi ya 3 zimeshapeleka offer zao kwa kila mchezaji.Kuna kitu hamjajifunza kwenye usajili.felix anaweza kutumika kuwarubuni wapinzani ili biashara ya mudrick ifanyike kwa utulivu.kwa nionavyo mimi usajili ni kama vita na kuna mbinu nyingi za kumuhadaaa adui
Hapo mwenye kisu kikali ndie atakaekula nyama, kwa masikitiko makubwa kabisa katika hao wachezaji wawili hakuna hata mchezaji mmoja atakaekuja Emirates.
Nyie katafuteni kina Lokonga wengine wasiokua na competition kwenye timu kubwa.