Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,701
- 13,671
Si awaachie timu yao bana.
Si awaachie timu yao bana.
@AFTVMedia presenter @Cecil_jee on Instagram, with Edu Gaspar, Stan Kroenke, Mikel Arteta, Josh Kroenke & Tim Lewis in Los Angeles last night.
Nasubiri nisikie "we'll buy when the right opportunity arrives"!!Gabriel Jesus will be analysed by the Arsenal doctors when he returns to London Colney next week. If they decide he needs surgery then he’ll be out for around three months.
If he doesn’t need surgery it’ll be a matter of weeks, not months. #afc
It all depends on whether Gabriel Jesus needs surgery, however he has been dealing with this right knee problem since before the World Cup, so it’s not something new to the Arsenal doctors.
Next week will decide the time frame, so let’s wait and see… #afc
Gabriel Jesus was seen today leaving the #Brasil camp & is his on his way to Arsenal.
Mimi..Sina tatizo na Eddie kuhusu kufunga ,ninachotaka aendelee kufanya Zile pressing, movement zake za hatariNasubiri nisikie "we'll buy when the right opportunity arrives"!!
Jana nimeongea hapa kuwa depth ni muhimu Sasa ona mpaka Jesus kaumia ndio mnawaza kusajili 9??? Au kwa akili ya Arteta anadhani Nketiah ni first team material?
Ni kocha mzuri ila akijichanganya kwenye kusajili forward ndio itakua anguko lake.
Angepatikana Joao Felix dah angekua perfect fit kwa mfumo wa Arsenal anaweza LW/RW pia CAM/CF. Kuliko huyo Murdyk wa 70M ambaye hajawa proven kwenye ligi za ushindani.Mimi..Sina tatizo na Eddie kuhusu kufunga ,ninachotaka aendelee kufanya Zile pressing, movement zake za hatari
Timu yetu Ni nzuri Sana,
Ndio maana hata Fabio vieira anajitafuta ila ukimuweka kwenye first eleven anakupa A performance
Eddie anahukumiwa kwa angle moja msimu huu anakosa Sana magoli .
Lakini turud tuangalie angles nyingine,Ni humu.humu walikuwa wanamsifia kwa movement ,pressing
Kwa Mimi...nionavyo system ya arsenal ipo kumfanya CF afunge ikiwa anauwezo mkubwa wa kutumia nafasi ,lakin inatoa mwanya kwa wingers na double 8s kufunga
Ndio maana GJesus ana mechi 9 hajui goli
Arsenal usitegemee wataleta typical no.9 , anatafutwa winger ambaye bado anaweza kutokea pemben then Martinell au Nketiah wakasimama Kati
Hadi Sasa Arsenal haina typical no 9 hata Jesus sio CF, movement zake zote anatokea pembeni .
Anarudi Smith Rowe ambaye anatokea pemben kwa Martinel , Anakuja Winga LW , Sioni Arsenal wakisajiri no.9 maana hata Jesus sio no.9 asilia
Most of Arsenal players aliosajiri Arteta hawakuwa na majina na wengi walibezwa Sana .Angepatikana Joao Felix dah angekua perfect fit kwa mfumo wa Arsenal anaweza LW/RW pia CAM/CF. Kuliko huyo Murdyk wa 70M ambaye hajawa proven kwenye ligi za ushindani.
No confirmation of reports in Brazil that Jesus is out for three months. Arsenal sources saying it's still too early to say and time will tell
) Arsenal try to plan their transfer business well in advance of windows opening & had prioritised a move for a winger in January. A central midfielder is also on the agenda. It remains to be seen whether the injury to Jesus will force Edu to re-think his plans. (@SamJDean)Moja kati ya watu ntampa ignore kwa mara ya kwanza ni huyuLabda wewe unatamani awe shoga Kwa sababu zako binafsi/ matamanio ya moyo wako. Jokes aside, pamoja na utani wa kimichezo, ni vema mashabiki mkjifunza kuwa na utu, mambo serious na machungu yanayohusu familia za watu, hata kama hamuwajui, siyo ya kuletea matani ya kimasikhara.
Unajua kuna muda arsenal walikuwa wanasajili kwa presha na hisia kilichoitokea timu kila mtu anakijua.unajikuta unawachezaji ambao hawana msaada na hawauziki.na arsenal hawajasema wanachukua ubingwa msimu huu ila hiyo ni ndoto ya kila timu iayocheza eplNasubiri nisikie "we'll buy when the right opportunity arrives"!!
Jana nimeongea hapa kuwa depth ni muhimu Sasa ona mpaka Jesus kaumia ndio mnawaza kusajili 9??? Au kwa akili ya Arteta anadhani Nketiah ni first team material?
Ni kocha mzuri ila akijichanganya kwenye kusajili forward ndio itakua anguko lake.
Kama habari za Jesus za kuwa nje kwa 3 months lazima tutafute mtu wa kariba yake au hata aliyemzidi(licha kwa soko la January ni gumu sana)kama Nketiah ndiye atakuwa goal scorer wetu 2 weeks hapa tutakuja kutukanana sisi wenyewe Arsenal fans ,mtu kama Nketiah alitakiwa awe ameshasepa long time sana ni mbahatishaji, ila kwa Jesus kwa kweli licha hajafunga muda but utaona why ana umuhimu sana kwetu anaweza kuleta hatari muda wowote ule kama Arteta ana uwezo wa kutumia false namba 9 kwa kipindi kilichobaki pia itakuwa heriUnajua kuna muda arsenal walikuwa wanasajili kwa presha na hisia kilichoitokea timu kila mtu anakijua.unajikuta unawachezaji ambao hawana msaada na hawauziki.na arsenal hawajasema wanachukua ubingwa msimu huu ila hiyo ni ndoto ya kila timu iayocheza epl
Ile workrate ya Jesus Ni ya Hali ya juu, Arsenal wanamfanyia scan zaidi, Kisha Kama itakuwa Surgery Basi ni wiki 12 nje ,so anaweza kurudi February , atakosa karibu mechi 5 za EPLKama habari za Jesus za kuwa nje kwa 3 months lazima tutafute mtu wa kariba yake au hata aliyemzidi(licha kwa soko la January ni gumu sana)kama Nketiah ndiye atakuwa goal scorer wetu 2 weeks hapa tutakuja kutukanana sisi wenyewe Arsenal fans ,mtu kama Nketiah alitakiwa awe ameshasepa long time sana ni mbahatishaji, ila kwa Jesus kwa kweli licha hajafunga muda but utaona why ana umuhimu sana kwetu anaweza kuleta hatari muda wowote ule kama Arteta ana uwezo wa kutumia false namba 9 kwa kipindi kilichobaki pia itakuwa heri
Hapo naona watamfanyia tu surgery ili apone kabisa wiki 12 ni nyingi sana hasa tunapotaka top 4 na games zitakuwa mfululizo ili league iishe mapema nahisi next week decision itafikiwaIle workrate ya Jesus Ni ya Hali ya juu, Arsenal wanamfanyia scan zaidi, Kisha Kama itakuwa Surgery Basi ni wiki 12 nje ,so anaweza kurudi February , atakosa karibu mechi 5 za EPL
Asipofanyiwa surgery atakuwa nje wiki 3-4 atakosa mechi 2
Toa wiki 4 hiz za Sasa had mwaka mpya .Hapo naona watamfanyia tu surgery ili apone kabisa wiki 12 ni nyingi sana hasa tunapotaka top 4 na games zitakuwa mfululizo ili league iishe mapema nahisi next week decision itafikiwa
HuyuIla Xhaka wa uswiss ni hapana kwa kweli anaweza akaua mtu