Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Umeongea hekima Sana Flano japo Kuna muda unajichetuaga ,
Huyo jamaa mijadala mingi kaiungia juu kwa juu
Sasa kwakuwa sisi wengine hatutaki mabishano tunakaa pembeni aendelee kubwabwaja



mimi kujichetua kwangu hua ni kwa ajili tu ya kuchangamsha jukwaa kwa utani wa hapa na pale, na sio kwenye hili jukwaa peke yake, ukitembelea jukwaa la Chelsea utanikuta nawachokoza kenge huko, ukienda kwenye jukwaa la Liverpool utanikuta pia huko nawatia moto, ila ikifikia hatua ya kutoleana lugha chafu na matusi huo napotea zangu tu kimya kimya. Mpira ni burudani iliyojaa furaha na shangwe lakini ukishaingia ugomvi na matusi inakua sio tena burudani.
Pamoja sana mkuu mimi nalikubali jukwaa lenu kwa sababu limechangamka sana siku hizi yaani lina amsha amsha kama zote tofauti na majukwaa ya timu nyingine yamepoaaaa, sijui kwa sababu mnaongoza ligi?
Ila kileleni baridi kali sana aaaiiiseee hamis77 ameshaanza kuganda.
Sources have told @TheAthleticFC that Arsenal is the club the Ambani family would go for if they did enter the football world (over Man Utd and Liverpool). Mukesh Ambani’s son Akash, 31, is reported to be a big Arsenal fan.

Arsenal vs. AC Milan
Al Maktoum Stadium
Dubai Super Cup
2pm (UK time) 17:00 EAT
Ben White and Thomas Partey set to be involved for Arsenal vs Milan. Granit Xhaka and Matt Turner with the squad, but not to play
)
| GOAL! #Arsenal take the lead as Martin Ødegaard scores! Fantastic free kick. #afc