Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
[emoji279]Mudryk amezungumza na Oleksandr Zinchenko kuhusu klabu na ni shabiki mkubwa wa aina ya uchezaji wa Arsenal.
Mikel Arteta anaamini kuwa Mudryk anaweza kubadilishwa kuwa winga hodari zaidi,.
@JacobsBen
Mikel Arteta anaamini kuwa Mudryk anaweza kubadilishwa kuwa winga hodari zaidi,.
@JacobsBen