Acha ujuaji hujani prove chochote
Habari za Arteta kutaka LCB zipo toka summer ,habari za kutaka mbadala wa Partey zipo toka summer
Habar za Evan Ndicka nimezileta humu sio juzi ,
Unachodai Arsenal isajiri LCB dirisha hili nilikwambia hakuna Kitu Kama hicho sababu Kuna option nyingi
Kinachofanyika Ni mipango ya kusajiri LCB dirisha lijalo , Sasa hapo Nani muongo au mjuaji Kama sio wewe?
Kwa akili yako unadhan Arsenal hii iwekeze pesa kusajiri LCB dirisha hili ,wakati Ina upungufu maeneo ya ushambuliaji LW & CF?
Kuhusu Felix umeniprove kipi? Nilikwambia narudia Arteta akimtaka mchezaji heshimu, asipomtaka heshimu pia ,