Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We jamaa una kamtindio si bure.
sasa kamtindio gani ndugu yangu, picha hio nimekuwekea hapo au basi ngoja niizoome umuone vizuri Jorginho jinsi ilivyopendeza ndani ya Gym ya Arsenyani.
Screenshot_20221212-105018.jpg
 
To summarize @David_Ornstein article

1. Mudryk main target. Club believes it can be done for less than 100m euros. Alternatives present

2. Also looking at Cunha

3. Valencia could sell Musah for above 20m£

4. Some in top level recruitment think Felix is good fit for Arsenal
 
"Atleti watamruhusu aende kwa kile wanachohisi ni ofa nzuri"

mbele ya PSG na Man United je Arsenal mnaweza kutoa offer nzuri?

Hapo Atletico Madrid na wakala wa Joao Felix wanawatumia nyie Arsenyani kuongeza thamani ya mchezaji wao.

AsaniWali nyie wachezaji wenu ni wale wa mafungu, mnanunua fungu la wachezaji 5 halafu mnapewa Lukonga kama nyongeza.
Management ya Felix ndio hiyo hiyo ya cr7 ,kwa akili yako tu unaona Felix akienda man u?

Tena inasemekana Mendes anaona Bora ampeleke Astonvilla kwa mujibu wa marca kuliko kumpeleka unyumbuni.
 
Arsenal are also weighing up to enter Matheus Cunha race as manager Arteta considers how best to cope in the absence of Jesus.

(@David_Ornstein )- Tier 1
 
Some who work in top-level recruitment, however, think Felix may be better suited to Arsenal, given the stylistic fit and their potential need for attacking reinforcements after Gabriel Jesus underwent knee surgery.

(@David_Ornstein )- TIER 1
 
sasa kamtindio gani ndugu yangu, picha hio nimekuwekea hapo au basi ngoja niizoome uone vizuri picha ya jorginho jinsi ilivyopendeza ndani ya Gym ya Arsenyani. View attachment 2443745
hiyo siyo Gym ya Arsenal Mzee, hao wapo kambi Dubai na hiyo Gym wamekodi tu kutumia pamoja

Kwahiyo hawana Authority ya kuondoa picha yoyote ile hapo ata kama ingekuwa ya Totenham

Na humo Gym sio tu hiyo picha ya Chelsea naamini zitakuwepo na zenu Manure pia kwahiyo hakuna Mbayaaaa
 
Kipaumbele cha Arsenal kwenye dirisha la Januari ni Mykhaylo Mudryk.

Bado hakuna makubaliano lakini mazungumzo yanafanyika na Shakhtar Donetsk.


Inafikiriwa kuwa atagharimu chini ya bei inayodaiwa ya €100m.


(Chanzo: @David_Ornstein)
 
Arsenal wanaongoza mbio dhidi ya vilabu vingine vya PL katika mbio za kumnasa Joao Felix.

PSG inabaki na nia kubwa zaidi

(@medinamarca / @D_pico_) -

Marca ndio wakwanza kuripoti Felix kutaka kuondoka
 
| @David_Ornstein:

"Shakhtar wameeleza thamani yao kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ukraine anayetamaniwa sana kama €100million (£85.9m, $105.3m)

- lakini wahusika wanaelewa kuwa ada ya chini ya hapo itakubalika." #afc
 
Baadhi ya wanaofanya kazi Arsenal katika kusajiri wa ngazi za juu, wanafikiri Felix anaweza kufaa zaidi Arsenal, kwa kuzingatia uchezaji wake na hitaji la kuimarisha mashambulizi baada ya Gabriel Jesus kufanyiwa upasuaji wa goti.

Matheu Cunha pia ni chaguo.


[David Ornstein - Tier 1
 
| Bukayo Saka and Aaron Ramsdale are expected to rejoin Arsenal training by the end of this week.

Gabriel Martinelli and Takehiro Tomiyasu are also expected back.

Granit Xhaka flew to Dubai after the World Cup and was given a few days off by Arsenal. [@sr_collings] #afc
 
hiyo siyo Gym ya Arsenal Mzee, hao wapo kambi Dubai na hiyo Gym wamekodi tu kutumia pamoja

Kwahiyo hawana Authority ya kuondoa picha yoyote ile hapo ata kama ingekuwa ya Totenham

Na humo Gym sio tu hiyo picha ya Chelsea naamini zitakuwepo na zenu Manure pia kwahiyo hakuna Mbayaaaa
hata kama hio Gym mmekodi ndio muwekewe picha za wachezaji wa timu pinzani makusudi?
Hao waarabu wa dubai wamewadharau kwa kiasi gani mpaka kufikia kuwadhalilisha kijinsia namna hio?
Kwa taarifa yako Arteta ndio ameamrisha hizo picha za Chelkenge ziwepo ukutani, lengo ni kuhamasisha hao watoto wa Academy wajitume ili siku moja na wao kabati lao liwe na makombe mengi kama kabati la Chelsea ambalo kwa sasa limejaa mpaka milango inashindwa kufungika.
Hapo kina kitchen partey kila wakinyonga baiskeli wakiangalia nyuma anamuona Jorginho huyu hapa inabidi waongeze speed.
Akili mtu wangu!!!!!!
 
hata kama hio Gym mmekodi ndio muwekewe picha za wachezaji wa timu pinzani makusudi?
Kwa taarifa yako Arteta ndio ameamrisha hizo picha za Chelkenge ziwepo ukutani, lengo ni kuhamasisha hao wa watoto wa Academy wajitume ili siku moja na wao kabati lao liwe na makombe mengi kama kabati la Chelsea ambalo kwa sasa limejaa mpaka milango inashindwa kufungika.
Hapo kina kitchen partey kila wakinyonga baiskeli akiangalia nyuma anamuona Jorginho huyu hapa inabidi aongeze speed.
Sawa mkuu taarifa imenifikia
 
Back
Top Bottom