Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,721
Sina hakika, japo awali ilikuwa asajiliwe wide player kabla hata Jesus kuumiaIna maana wanataka kusajili forward kamili siyo.
Sina hakika, japo awali ilikuwa asajiliwe wide player kabla hata Jesus kuumiaIna maana wanataka kusajili forward kamili siyo.
Wazungu ubaguzi hawaachi, wakishinda picha ya mzungu wakifungwa mweusi.Maisha Ya Soka
Hao Unaowaona Hapo ni Mashabiki Wa Uingereza Wakitoa Pongezi Kwa Kijana Hatari Zaidi Duniani Bukayo Saka Baada ya Kuonyesha Kiwango Kizur Kwenye Mechi Dhidi ya Senegal.Ambalo aliendeleza Jadi Yake ya Kumtungua Edouador Mendy na Kumgeuza Muembe Wake wa Uani..
Hawa Hawa Mashabiki Baadhi Yao Ndio Waliombagua Kijana Alipokosa Penalti Wakati England Wakicheza Dhidi Ya Italy Kwenye Fainal Ya Euro
Aisee Tuache Masikhara Ukiacha Kiwango Chake Saka Pia Anajua Kuvumilia Mapito magumu Maana Tangu Wakose Penalty Yeye na Sancho Kipindi kile Mpaka Leo Sancho Haeleweki Kabisa Ila Saka Amerud Akiwa Imara zaidi Shukrani Pia Kwa Mikel Arteta na Benchi lake Lote Kwa Kumuimarisha Kijana Kiakili na Kiwango Pia
Fundisho..Mashabiki Watakupenda Ukiwa na Farida Kwao Tuu Tena Haswa Watu Weusi…View attachment 2439348
Itakuwa hivyo.....kuna sehemu nilichungulia kitu kama hicho.Sina hakika, japo awali ilikuwa asajiliwe wide player kabla hata Jesus kuumia
Kumbe Jana mmepigwa na upo kimyaView attachment 2439292


Mi ninachojua kikosi cha Man United kipo Qatar kwenye mashindano ya WC.
.
Mi ninachojua kikosi cha Man United kipo Qatar kwenye mashindano ya WC.
Sasa hao waliotundikwa jana goli 4-2 inabidi bodi ielezee ni kina nani?
Ila Man United hua anatesekaga sana na timu za Spain.View attachment 2439386


wewe jamaa haya bhana,itabidi nikutafute siku tucheki mechi ya Arsenal vs man u pale Emirates
️Arsenal Dubai Super cup games can be watched here for free by middle eastern viewers and i daresay, those with a vpn outside the middle east can do so too
️Atletico Madrid would prefer to sell Joao Felix to a PL club. They would ask for a minimum of 100m euros and a loan with mandatory purchase is also an option
-RELIABLE
- Very reliable
- Reliable
- Hit and miss

️Atletico Madrid will not let Felix leave for less than 100m euros. Arsenal,PSG,Chelsea,United are all in the mix. Mendes trying hard to find a new suitor. Loan with mandatory purchase also possible.
to
- Difficult to predict
Safi hii jersey naielewa sana kama ya.................Confirmed:
Arsenal will wear their black away kit to face Lyon in the Dubai Super Cup today. View attachment 2439529
Hii Mimi naipenda Sana, ya home hata siitaki,Safi hii jersey naielewa sana kama ya.................
️Arsenal inasita kumrejesha Balogun kutoka kwa mkopo kwa kuwa ni wazi ni kiasi gani ananufaika kutokana na kucheza wiki baada ya wiki Ligue 1.
-RELIABLE KWA HABARI ZA ARSENAL