Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu jamaa ni mtu, apewe nafasi na EPL pia
20221211_100442.jpg
 
Huyu Ben White hajaifanyia England uhuni kweli mbona yupo kambini tayari

Hata kama ingekua mimi ningesepa tu View attachment 2442656
Ben White alikuwa Dubai ,arsenal walikuwa wanasubiri england itoke waachie picha zake, aliondoka kambi ya timu ya Taifa Kuna ujuaji mwingi .

Siumeona hata Martinelli Baada ya mechi kasepa kawahi Dubai

Safi Sana

Ben White & Thomas Partey back in Arsenal camp in Dubai.

Ben White makes an appearance as soon as England got knocked out lol
 
Sasa kule kocha yuko na loyalty na akina Maguire, Sterling, Shaw, Mount na watu kama hao ufanyeje sasa.

Nimeipenda hii. Huenda kulikuwa na issue na kocha. Ingekuwa familia mbona Raheem alikwenda akarudi kuruka ruka jana ili aweke record ya kucheza last game vs France?

Kwa kweli Jana steering kaingia kuruka ruka ile sub ya imewacost.

Wakat Saka Yuko ndan Theo alikuwa hapandi baada ya Saka kutoka akaanza kupanda kwa Kasi Sana na pasi ya goli ilitokea upande ule ule
 
Za ndaani kabisa inasemekana BW alihitilafiana pakubwa na Assistant HC bw Steve Halland kuhusu timu. Akaona isiwe shida win win situation akasepa.
 
DREAM COMES TRUE

Oleksander Zinchenko anasema alipokuwa na umri wa miaka 14 na katika akademi ya Shakhtar walimuuliza kwenye sehemu ya video,

ndoto yake ilikuwa nini na akasema

"kuichezea Arsenal".

(@SkySportsPL)View attachment 2443391View attachment 2443393
Hii jezi aliyovaa, ni arsenal ya kina andrey arshavin... Kajamaa kalikuwa kanaujuwa saaana, ila ndio arsenal ile ilikuwa na matatizo mengi, quality players wachache, average wamejazana.
 
Katika siku chache zilizopita , Arsenal imeingia kwenye kinyang'anyiro cha Joao Felix kwa "nguvu".

PSG na United walivutiwa sana na Bayern wamejitoa.

Atleti watamruhusu aende kwa kile wanachohisi ni ofa nzuri.

(@PatriciaCazon) - Reliable
Wwakiweza kumwaga mpunga ni mchezaji mzuri, aina ya uchezaji wake na soka la arsenal (arteta) vinarandana, japo si kigezo cha kuja na kufanya vizuri.
 
Katika siku chache zilizopita , Arsenal imeingia kwenye kinyang'anyiro cha Joao Felix kwa "nguvu".

PSG na United walivutiwa sana na Bayern wamejitoa.

Atleti watamruhusu aende kwa kile wanachohisi ni ofa nzuri.

(@PatriciaCazon) - Reliable
"Atleti watamruhusu aende kwa kile wanachohisi ni ofa nzuri"

mbele ya PSG na Man United je Arsenal mnaweza kutoa offer nzuri?

Hapo Atletico Madrid na wakala wa Joao Felix wanawatumia nyie Arsenyani kuongeza thamani ya mchezaji wao.

AsaniWali nyie wachezaji wenu ni wale wa mafungu, mnanunua fungu la wachezaji 5 halafu mnapewa Lukonga kama nyongeza.
 
Back
Top Bottom